Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 17, 2022 #21 Daudi Mchambuzi said: Aisee sasa itakuaje kuhusu Biriani Ngamia? Click to expand... Sisi ni wanafiki, tunamsakama mdudu huku tuna promote ulaji wa pweza, ngisi na ngamia
Daudi Mchambuzi said: Aisee sasa itakuaje kuhusu Biriani Ngamia? Click to expand... Sisi ni wanafiki, tunamsakama mdudu huku tuna promote ulaji wa pweza, ngisi na ngamia
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jun 16, 2024 #22 Dini ndio inasema hivyo Mr Q said: Hivi kucheua na kupasuka kwato kunasababisha vipi mnyama kuwa safi kwa kula na kutopasuka kwato kunasababishaje mnyama huyo kuwa najisi? View attachment 2449463 Click to expand...
Dini ndio inasema hivyo Mr Q said: Hivi kucheua na kupasuka kwato kunasababisha vipi mnyama kuwa safi kwa kula na kutopasuka kwato kunasababishaje mnyama huyo kuwa najisi? View attachment 2449463 Click to expand...
I incharge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 5,017 Reaction score 8,442 Jun 16, 2024 #23 drilling said: uislamu hakuna sehemu imesema ule nyama ya nguruwe unapokosa chakula ni uongo mkubwa Click to expand... Mi nadhani yupo sahihi lakini iwe kweli kuna hali hiyo ya kwamba usipokula basi utapoteza maisha yani kwenye lugha ya kisheria tunasema necessity
drilling said: uislamu hakuna sehemu imesema ule nyama ya nguruwe unapokosa chakula ni uongo mkubwa Click to expand... Mi nadhani yupo sahihi lakini iwe kweli kuna hali hiyo ya kwamba usipokula basi utapoteza maisha yani kwenye lugha ya kisheria tunasema necessity