Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Nilikuwa na rafiki yangu mzuri ambaye tulifahamiana ofisini lakini baadaye alikuja kuhama pale ofisini sasa yapata miaka 8 hatuko pamoja
Lakini wakat huo wote tuliendelea kuwasiliana na kusaidiana katka changamoto mbalimbali za kimaisha
Kilichonishtua ni kuwa mwaka Jana alinipigia simu akiniomba nijiunge na chama X akanisisitiza kuwa iwapo nitafanya hivyo Kuna fursa mbalimbali naweza kuanza kuzipata kwa unafuu lakini Mimi kwa kutambua mitikasi ya siasa za nchi hii niliamua kugomea ombi lake na kuendelea na maisha yangu
Sasa bwana juzi nikawa naperuzi Instagram nikakutana na comments zake kwenye kurasa mbalimbali za vyombo vya habari nilishangaa kuona kuwa jamaa kawa chawa tena yule wa kiwango Cha airport
Ni amekomaa kutetea ujinga elimu na akili zake vyote kaweka pemben kilichonisikitsha ni kuona jinsi Gani watanzania wanavyomrushia maneno ya dhihaka aisee imeniuma sana 😭😭