Nimegundua Tanzania ukiwa na mtaji wa milion2 unaweza andaa tamasha kubwa la mziki la wasanii zaidi ya kumi

Duh mkuu freedom fighter yuko jela?
Daah hii post imekaa ki'2015 hivi,,au umefufuka nini????.
kina freedom fighter washafilisika na kufungwa jela...buzuruga plaza ilishadolola na madee hana kiki saivi kumzidi wozu
Kwa kosa gan mzee hebu tirilika kidogo aisee

Maana mwaka jana nilikutana naye sehem, sema hakuwa freedom fighter wa siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣
 
Sio rahisi kihivyo huwezi kuanzisha tamasha kubwa kama fiesta au wasafi festival bila platform ya kulitangaza na kulilinda dhidi ya hujuma
 
Ivi umem quote chid benzi huyuhuyu .mi naona kuna wasanii failure kwenye carrier Ndio wanatangazaga huo uvundo Cc Dudubaya
 
😂😂 TID kama unataka kumpa 70000 unakataaa unampiga 30000 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…