Nimegundua Tanzania ukiwa na mtaji wa milion2 unaweza andaa tamasha kubwa la mziki la wasanii zaidi ya kumi

Nimegundua Tanzania ukiwa na mtaji wa milion2 unaweza andaa tamasha kubwa la mziki la wasanii zaidi ya kumi

Duh mkuu freedom fighter yuko jela?
Daah hii post imekaa ki'2015 hivi,,au umefufuka nini????.
kina freedom fighter washafilisika na kufungwa jela...buzuruga plaza ilishadolola na madee hana kiki saivi kumzidi wozu
Kwa kosa gan mzee hebu tirilika kidogo aisee

Maana mwaka jana nilikutana naye sehem, sema hakuwa freedom fighter wa siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi wakuu

Nimemsikiliza chid benz kwa makin sana kuanzia mwanzo mpaka mwisho akizungumzia unyonyaji wanaofanyiwa wasanii

Lakin kuna kitu nime kinote kwamba anachozungumza chid benz ni yale ambayo kila siku msanii Godfrey tumain dudubaya huwa anayapigia kelele, lakin wao kama akina chid benz huwa wanabaki kimiya kama hawapo kumbe moyon wanasema kweli bhana

Dudubaya ndo msanii pekee ambaye huwa anaongea bila kificho kuhusu kuumizwa kwa wasanii lakin basata wapo kimiya

Sasa bas twende kwenye mada nimegundua ya kwamba ukiwa na milion zako mbili unaweza fanya bonge la tamasha hatari sana na ukalipachika na jina lako labda hata unaweza ita NAKWEDE FIESTA na ukapata wasanii wakubwa na wakali tu na ukapiga pesa zako kisha unasepa na kijiji

Kwa mfano ili hiyo itoshe unawatoa wasanii kama ifuatavyo


Alikiba 350000
Harmonize 400000
Richmavoko 150000
Fid q 120000
Chid benz 50000
Nandi 200000
Darasa 100000
Whozu 80000
Mr blue unamchapa laki
Nyandu toz unamchapa elf hamsin
Madee unamchapa zake 120000
Dogo janja unamchapa zake sabin

Hela nyingine inayobaki unawalipa mabaunsa

Hakika utapiga pesa mpaka useme tosha

Wasanii hawa unawapeleka buzuruga plaza pale mwanza sehemu ile inaingiza watu zaid ya elf tano, unaweka kiingilio chako cha buku ten

Aisee kumbe kuna sehemu wahuni wanapiga pesa sisi tumekalia kuwa machinga na kufungua maduka

Hapo bado kuna wadhamini kama kazungu barbershop, freedom fighter,kumalija hotel, batco express,kisesa express

Aisee vijana tuwe macho bhana


Asanten

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣
 
Sio rahisi kihivyo huwezi kuanzisha tamasha kubwa kama fiesta au wasafi festival bila platform ya kulitangaza na kulilinda dhidi ya hujuma
 
Ivi umem quote chid benzi huyuhuyu .mi naona kuna wasanii failure kwenye carrier Ndio wanatangazaga huo uvundo Cc Dudubaya
 
Back
Top Bottom