kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utatumia makaratasi kuwashawishi watu walipe buku tano kuja kumwona sijui nyandutoz na whozu.Mkuu faida hapo tutapiga kama milion 20 na ushee lakin tu nakuomba tusizulumiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kosa gan mzee hebu tirilika kidogo aiseeDaah hii post imekaa ki'2015 hivi,,au umefufuka nini????.
kina freedom fighter washafilisika na kufungwa jela...buzuruga plaza ilishadolola na madee hana kiki saivi kumzidi wozu
Kuna watu wa usalama humu wasije niibukiaDuh mkuu freedom fighter yuko jela?Kwa kosa gan mzee hebu tirilika kidogo aisee
Maana mwaka jana nilikutana naye sehem, sema hakuwa freedom fighter wa siku zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ndo walimdedisha mwanangu samsonKuna watu wa usalama humu wasije niibukia
ila in short jamaa walimuua tajiri mmoja wa mabasi hapa zoo
🤣🤣🤣Aman iwe nanyi wakuu
Nimemsikiliza chid benz kwa makin sana kuanzia mwanzo mpaka mwisho akizungumzia unyonyaji wanaofanyiwa wasanii
Lakin kuna kitu nime kinote kwamba anachozungumza chid benz ni yale ambayo kila siku msanii Godfrey tumain dudubaya huwa anayapigia kelele, lakin wao kama akina chid benz huwa wanabaki kimiya kama hawapo kumbe moyon wanasema kweli bhana
Dudubaya ndo msanii pekee ambaye huwa anaongea bila kificho kuhusu kuumizwa kwa wasanii lakin basata wapo kimiya
Sasa bas twende kwenye mada nimegundua ya kwamba ukiwa na milion zako mbili unaweza fanya bonge la tamasha hatari sana na ukalipachika na jina lako labda hata unaweza ita NAKWEDE FIESTA na ukapata wasanii wakubwa na wakali tu na ukapiga pesa zako kisha unasepa na kijiji
Kwa mfano ili hiyo itoshe unawatoa wasanii kama ifuatavyo
Alikiba 350000
Harmonize 400000
Richmavoko 150000
Fid q 120000
Chid benz 50000
Nandi 200000
Darasa 100000
Whozu 80000
Mr blue unamchapa laki
Nyandu toz unamchapa elf hamsin
Madee unamchapa zake 120000
Dogo janja unamchapa zake sabin
Hela nyingine inayobaki unawalipa mabaunsa
Hakika utapiga pesa mpaka useme tosha
Wasanii hawa unawapeleka buzuruga plaza pale mwanza sehemu ile inaingiza watu zaid ya elf tano, unaweka kiingilio chako cha buku ten
Aisee kumbe kuna sehemu wahuni wanapiga pesa sisi tumekalia kuwa machinga na kufungua maduka
Hapo bado kuna wadhamini kama kazungu barbershop, freedom fighter,kumalija hotel, batco express,kisesa express
Aisee vijana tuwe macho bhana
Asanten
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah nimecheka sana eti Mr blue unamchapa laki
Zero brain acha bangi na pombe za kuombaomba..sio lazma uzagaze matapishi yako apa
Sent using Jamii Forums mobile app
We dogo huwa unanichekesha sana 2021 nahamia Dodoma itabidi nikutafute kijana wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu hii post umeandika wewe au umemuachia dem wako? Rudia tena kusoma uzi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi kihivyo huwezi kuanzisha tamasha kubwa kama fiesta au wasafi festival bila platform ya kulitangaza na kulilinda dhidi ya hujuma