Nimegundua udhaifu mkubwa sana wa Serikali ya Tanzania katika kukabili suala la COVID-19

Kwa kujibu wa taarifa kwenye hiyo link, Kenya wanapewa alternative, (hadi hostel za chuo zinatumika). Na hata hiyo hotel aghali iliyotajwa rate yake ni US$ 60 ambayo ni chini ya laki mbili inayotozwa hapa kwetu.
Hapa kweti kuna hotel ya US$50 kulingana na clip ya yule mama aliyekuwa analalamika.
 
Vita ya corona Tz
Hivi Tanzania wakiweka karantii ya kutoka kama hizo nchi nyingine si watu wengi watakufa kwa kukosa chakula kuliko hata vifo vya corona yenyewe? Tusijifananishe na nchi hizo. Maisha ya Bongo asilimia kubwa fedha ya kula kesho inatafutwa leo na wakati mwingine ya kula leo inatafutwa leo leo. Utamwambia mtu asiyejua anakula nini kujifungia ndani?
 
Sasa kipi kifanyike au tukae lockdown mwez1 tupime upepo.

Viongozi wetu wote bila kujali ni serikali au upinzani mko wapi? Viongozi wa dini mko wapi?

Kwa nini tusiiombe serikali sote kwa umoja wetu kuitaka ichukue hatua kama mataifa mengine?

Sudan, ivory coast, Senegal ni baadhi ya mataifa ya karibu kabisa kwenda total lockdown.

Kwa nini sisi hatuchukui hatua?
 

Nchi masikini kama Rwanda ilivyofanya lockdown so far umeshasikia wananchi wake wangapi wamekufa kwa kukosa chakula?

Au huko hua wanafanya kazi gani za kuwafanya wawe na saving ya wiki 2?
 

Sasa ndio tukiri kuwa nchi yetu ni ya watu maskini wa kutupwa. Kujifaragua kote kwa ccm hii kunamalizwa na corona.
 
Mbaya mwamba alipoingia hela ya majanga hakuna.. Zaman chakula cha akiba kilikuwa kinanunuliwa cha kutosha,ila mwamba alisema hatoi chakula wakati wa majanga...

Ivyo Corona ikishika hatam, watu watakufa na Corona na njaa pia..

Tuombe Mungu ipite pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lawama kwa serikali…lawama kwa serikali…lawama kwa serikali!
Ni wajibu wa kila mtz kujikinga na ugonjwa huu na magonjwa mengine! Kama unasubiri serikali ije ikukinge baada ya kutoa taarifa juu ya uwepo wa ugonjwa huu nchini basi utasubiri sana! Kwa maoni yangu serikali inafanya kinachotakiwa. Imetoa elimu, imefunga shule na vyuo na kuzuia mikusanyiko! haya yanapaswa yapige kengere kwenye masikio ya kila mtz maana siyo mambo ya kawaida kutokea! Unapoona mpaka serikali imechukua hatua hizo ujue imechukulia covd-19 kwa uzito unaostahili!
Na tz kihihivi tutavuka salama na mataifa mengine yatashangaa, Mungu yupo!
 

Unaongea pumba...Serikali ndo tumeipa dhamana ya kutuongoza na kusimamia rasilimali zetu so inawajibu mkubwa katika hili hivyo ni lazima kulaumiwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Rwanda ni nchi yenye population ndogo sana / Hiko kama watu awazidi 10 Million.... Usijaribu sumu kwa kuionja.

Wako zaidi ya Mil 12.

Vipi khs South Africa wao wana population kiasi gani maana nao wameweka hio lockdown.
 
Mi nawaza tu,ule alioufanya Makonda pale ubungo si mkusanyiko?Hivi tuko serious kweli au?Kuna jambo gani la maana ameenda kulifanya pale?shame

Watu na wenyewe ni Wajinga mitako mikubwa wanaenda kumsikiza ili iweje ??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lengo la hii mada ni hapo namba 4 tu
Huyu jamaa ana ujumbe wa maana ila jinsi ya kuutoa ndipo kachemsha. Ukiwa ni mtu wa mrengo fulani na unajulikana, ni vyema kuhakikisha huongelei cheap politics kam kupiga picha juu ya jiwe. Bashite kutamka kuwa fulani ana.... mihemko inapozidi hata umahiri wa uandishi unakuwa shakani. Ni maoni yangu tu
 
namba hazidanganyi! Africa is resistant to Corona virus ikiaminiwa kama si joto kubwa basi ni Melanin, waafrika wangapi wamekufa kwa Corona? wengi kati ya waafrica waliokufa kwa Corona walikuwa na magonjwa mengine makubwa na weak immune system Corona imewapiga teke tu, hatupaswi kupanic kama wazungu huu ugonjwa ni hatari sana na unatupata na tunausambaza ila si wa kusimamisha maisha yetu, yule mgonjwa wa kwanza bongo hakuambukiza mtu yoyote katika wote aliokutana nao tofauti na uzunguni huyu angeua mji mzima hivyo lockdown si lazima cha msingi ni kuwa na bajeti na timu maalum kuhakikisha inasimamia karantini kwa kila anaeingia bongo! wasio na uwezo wa hotel nashauri walipiwe na fedha ya umma because this is a public health problem si individual case na the fact is si kila msafiri anaeshuka bongo ana mawe sababu almost 90+ percent ya watu wako kwenye informal based economy! mtu anaetoka nje kabla hajapanda ndege anaweka bajeti ni ukweli kwa asie muajiriwa bajeti ya hotel ya wiki mbili za karantini hawezi kuwa nayo kwa hela za mawazo!! i speak from personal experience!

Corona virus is an invisible enemy who hits you severely but you cannot revenge or fight back!The global wealth that was created from sell of weapons, loan interests and low prices of goods from poor countries is going to be spent the same way it was created! nani kaelewa?

Ukifikiri sana utaona labda Corona ni adhabu toka juu sasa tujiulize wenzetu wa west walichomkosea muumba! je ni watu weupe kuwakandamiza kuwaibia na kuwabagua kuwanyanyasa na kuwadharau watu weusi ? je ni high interest loans to poor countries au kutupa low prices? au ni slave trade and colonialism? au ni kutuingilia mambo yetu? au ni ushoga, au ni kutengeneza silaha na kutuuzia watu weusi tuuane? au ni vita yao dhidi ya magaidi na uislam?

mi nawaza Corona si binadamu tu wanaisambaza hata wanyama wa nyumbani pets, upepo, birds, ambulances, majengo ya hospital , aircrafts na nguo za wahudumu wa afya wa Corona!!!sababu kuna wagonjwa wapya wa Corona walikaa zao home bila kuwa na contact na waathirika wala majengo yenye corona!!
 
Mi nawaza tu,ule alioufanya Makonda pale ubungo si mkusanyiko?Hivi tuko serious kweli au?Kuna jambo gani la maana ameenda kulifanya pale?shame
Taf.Tuwekeeni hiyo clip nasi tumshangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…