mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Habari ya Jioni Jf, sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio mnategemea msharaha tu.
Fungue biashara yoyote ile hapo mnanuka njaa je nchi ikiingia kwenye janga la kutokuwa na pesa hivi mtavumilia nyinyi achaneni na lawama.
Usiku mwema ukinuna wewe nuna.
Kikubwa tafuteni njia mbadala wa kuingiza pesa tofauti na kutegemea mshahara.