mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
NAKAZIANimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile
Hii kali dadeq!! 🤣wewe nje na biashara una kazi gani?
Kwani Mo nje ya biashara ana kazi gani?wewe nje na biashara una kazi gani?
Hana kazi sasa mnatushangaa nini sisi wenye kazi kua na bila kazi nje ya kaziKwani Mo nje ya biashara ana kazi gani?
mjadala ufungwe sasa
Wateja wenu ndio hao hawana helaSis wafanya biashara bhana hatulii njaaa hata nchi iingiee vitani mwaka mzima
Acha uchawi kila mtu na maisha yake,kwani waliogoma kaliakoo nao ni njaa,kata tiketi ukose usafiri utakubali kinyonge,maisha ni circle,ukipata wewe hunipi hata chembe,hivi unafikiri.Habari Ya Jioni Jf,sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio mnategemea msharaha tu.
Fungue biashara yoyote ile hapo mnanuka njaa je nchi ikiingia kwenye janga la kutokuwa na pesa hivi mtavumilia nyinyi achaneni na lawama.
Usiku mwema ukinuna wewe nuna .
Kikubwa tafuteni njia mbadala wa kuingiza pesa tofauti na kutegemea mshahara.
Uko TGS ipi?Hana kazi sasa mnatushangaa nini sisi wenye kazi kua na bila kazi nje ya kazi