macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Siendi popote. Tukisema huu ni ubunifu ni kujidhalilisha. Watu wamesafiri miaka nenda rudi kwenda kushangilia timu nyie mnakuja kudanganya hapa ni ubinifu?Kwenda zako! Wewe unebuni nini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siendi popote. Tukisema huu ni ubunifu ni kujidhalilisha. Watu wamesafiri miaka nenda rudi kwenda kushangilia timu nyie mnakuja kudanganya hapa ni ubinifu?Kwenda zako! Wewe unebuni nini!?
Wasafi tulishafanya hii kitu na hatukuwa na kelele kama hiziJumapili ijayo, klabu za Simba na Yanga zinapambana kwenye mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho almaarufu kama Azam Conf. Cup. Mchezo huo kabambe ambao unabeba tukio kubwa la kisoka nchini utapigwa kwenye uwanja wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma.
Katika kuchagiza na kusherehesha mechi hiyo ya watani wa jadi, Shirika la Reli nchini (TRC) imeandaa safari ya treni kwa ajili ya mashabiki wa Simba na Yanga kuanzia Dar es Salaam hadi Kigoma na kurudi katika hali ya ubunifu. Safari husika itafanyika leo (?) na kurudi ni Jumapili baada ya mechi.
Ndani ya treni husika kutakuwa na michezo ya aina mbalimbali kama drafti huku watanzania wapenda furaha wakijumuika kubadilishana mawazo na 'kusahau' shida zao wakati wa kwenda na kurudi. Kitu pekee kinachppaswa kuzingatiwa safarini ni hatua za tahadhari dhidi ya maambukizi ya UVIKO.
Kwa moyo wangu wa dhati, nawapongeza TRC. Nawaomba na kuwahamasisha kubuni mambo mengine mazuri kwa ajili ya watanzania na maendeleo ya Shirika la Reli kwa ujumla.
KabisaaWanawaona ni threat kwao, badala ya kuwatumia productively wao wana wasuppress
Yeah ubunifu mzuri,ila sio vyote anafanya kusaga,Kuna watu wapo pale clouds na hawana umaarufu sanaHuo ubunifu umetoka kwa Joseph Kusaga wa Clouds media
TRC miaka yote hawajui usafi wala fummigation ya mabehewa ila Kusaga anajua kutumia fursa na kampuni yake kuwa sehemu ya mradi huu
Wako club matata ndani ya trenKumbe ni hawa jamaa, hongereni kwa kukodi train
Bila ya TRC kuridhia ungefanikiwa? Huo ni wao TRC
Mikusanyiko isiyo ya lazimaJumapili ijayo, klabu za Simba na Yanga zinapambana kwenye mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho almaarufu kama Azam Conf. Cup. Mchezo huo kabambe ambao unabeba tukio kubwa la kisoka nchini utapigwa kwenye uwanja wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma.
Katika kuchagiza na kusherehesha mechi hiyo ya watani wa jadi, Shirika la Reli nchini (TRC) imeandaa safari ya treni kwa ajili ya mashabiki wa Simba na Yanga kuanzia Dar es Salaam hadi Kigoma na kurudi katika hali ya ubunifu. Safari husika itafanyika leo (?) na kurudi ni Jumapili baada ya mechi.
Ndani ya treni husika kutakuwa na michezo ya aina mbalimbali kama drafti huku watanzania wapenda furaha wakijumuika kubadilishana mawazo na 'kusahau' shida zao wakati wa kwenda na kurudi. Kitu pekee kinachppaswa kuzingatiwa safarini ni hatua za tahadhari dhidi ya maambukizi ya UVIKO.
Kwa moyo wangu wa dhati, nawapongeza TRC. Nawaomba na kuwahamasisha kubuni mambo mengine mazuri kwa ajili ya watanzania na maendeleo ya Shirika la Reli kwa ujumla.
Na usambazaji wa covod pia clouds wanahusika vizuri SanaKuna uwezekano mkubwa sana kwamba Officials Wa TRC waliohusika kwenye huu mchongo wamelamba kwanza 10% kabla hawajaridhia.
Trust me, hii ni akili ya Clouds Kwa asilimia 99.9. TRC wamekuwa watekelezaji tu.
Kumbuka wanakunywa pombe kali na elewa sanitizer inatengenezwa kwa pombe kali. Kwa hiyo wao hawawezi kupata maambukizi kwa sababu wana^sanitize koo ambako ndiyo makso makuu ya wadudu wa covid19.Hivi huo si mkusanyiko..!?
Sidhani kama utaelewa ubunifu uliofanyika hapo. Endelea kunywa double kickWatanzania ni nai alituloga? Hili nalo ndilo linaitwa ubunifu? Kusafirisha washabiki wa mpira kwenda kwenye mechi ndiyo ubunifu? Hakika nchi yangu inaangamia kwa kukosa watu weledi