Nimeguswa na ubunifu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nawapongeza na kuwataka waongeze ubunifu

Kwenda zako! Wewe unebuni nini!?
Siendi popote. Tukisema huu ni ubunifu ni kujidhalilisha. Watu wamesafiri miaka nenda rudi kwenda kushangilia timu nyie mnakuja kudanganya hapa ni ubinifu?
 
Wasafi tulishafanya hii kitu na hatukuwa na kelele kama hizi
 
Baada ya dakika 90 za mchezo na matokeo kujulikana, washabiki wa Simba na Yanga watasafiri katika treni hiyo moja yenye mabehewa kadhaa ya timu moja yakitenganishwa na yale ya timu nyigine au zitakuwa treni mbili za Simba na Yanga?.
 
Huo ubunifu umetoka kwa Joseph Kusaga wa Clouds media
TRC miaka yote hawajui usafi wala fummigation ya mabehewa ila Kusaga anajua kutumia fursa na kampuni yake kuwa sehemu ya mradi huu
Yeah ubunifu mzuri,ila sio vyote anafanya kusaga,Kuna watu wapo pale clouds na hawana umaarufu sana
 
Mikusanyiko isiyo ya lazima

Mbaya zaidi na pombe juu

Pale ni covod spreading agents Tu
 
Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba Officials Wa TRC waliohusika kwenye huu mchongo wamelamba kwanza 10% kabla hawajaridhia.

Trust me, hii ni akili ya Clouds Kwa asilimia 99.9. TRC wamekuwa watekelezaji tu.
Na usambazaji wa covod pia clouds wanahusika vizuri Sana

Sijui kama.tunaliangalia hilo
 
Mi nina hamu ya kutoooo

Ndani ya behewa
 

Attachments

  • VID-20210724-WA0041.mp4
    2.7 MB
Hivi huo si mkusanyiko..!?
Kumbuka wanakunywa pombe kali na elewa sanitizer inatengenezwa kwa pombe kali. Kwa hiyo wao hawawezi kupata maambukizi kwa sababu wana^sanitize koo ambako ndiyo makso makuu ya wadudu wa covid19.
 
Watanzania ni nai alituloga? Hili nalo ndilo linaitwa ubunifu? Kusafirisha washabiki wa mpira kwenda kwenye mechi ndiyo ubunifu? Hakika nchi yangu inaangamia kwa kukosa watu weledi
Sidhani kama utaelewa ubunifu uliofanyika hapo. Endelea kunywa double kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…