SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Muda upi?Muda si mrefu
Liver 0- 2 PSG...atahamia PSG[emoji28] [emoji28] [emoji28]
na ikifika hatua ya 16 bora wenye UEFA yao wakianza kuonesha ukongwe usikimbie tenaMimi The Book nikiwa na akili timamu natangaza kuwa;Kuanzia leo nimeacha kushabikia Man United na kuwa nimeanza kushabikia Liverpool 'The Reds'.
Ahsanteni
View attachment 870368
YOU WILL NEVER WALK ALONE
Nakazia Shabki wa kweli hawezi kuhama timu hata siku mojaHujawahi kuwa shabiki wa kweli.. wewe ni feki tu
Uzi porojo
Ushabiki wa team hua upo ndani ya nafsi ya mtu,huwezi kuhama team hata siku moja,unaweza kusema kwa mdomo au kwa maandishi kua umeihama team fulani ila nafsi yako itakusuta tu na mapenzi ya team yako ya zamani hayawezi kuondoka kamwe!
Ukiona mtu anahama team basi huyo hakua shabiki bali alikua ni mpiga zumari tu ili nae aonekana ni mtu wa soccer mbele za watu.
Hatari kocha atawauaSepa tu
Milele?Kuanzia leo na kuendelea
Milele?