Nimehama rasmi Manchester United na kujiunga na Liverpool

Nimehama rasmi Manchester United na kujiunga na Liverpool

Haukuwa shabiki wewe, kwa shabiki wa kweli kuhamia timu inayoshiriki ligi moja na ili aliyohama ni ngumu sana.
 
Umechagua fungu lililo bora.

Tajiri anaweza kuuza timu na kununua nyingine (huko ni kuhama)

Kocha anahama timu, wachezaji wanahama.

Kama hao ambao wako so entitled na timu wanahama, kwa nini wewe mshabiki usihame?

Ila mimi mpaka leo mchepuko wangu Leeds United sijui uliko.
 
Ushabiki wa team hua upo ndani ya nafsi ya mtu,huwezi kuhama team hata siku moja,unaweza kusema kwa mdomo au kwa maandishi kua umeihama team fulani ila nafsi yako itakusuta tu na mapenzi ya team yako ya zamani hayawezi kuondoka kamwe!

Ukiona mtu anahama team basi huyo hakua shabiki bali alikua ni mpiga zumari tu ili nae aonekana ni mtu wa soccer mbele za watu.
 
Mimi nawajua jamaa zangu tuliokuwa nao Liverpool enzi za kina Robbie Fowler walikuja wakahamia Chelsea Mourinho alivyokuja ile 2004.

Sishangai nikiona mtu anahama timu.
 
Back
Top Bottom