Nimehama rasmi Manchester United na kujiunga na Liverpool

Tuheshimiane aisee, mnatusema Arsenal kwani Man City kabla ya kununuliwa na waarabu walikuaje. Ilikuwa ni timu ndogo kuliko Aston Villa ya Birmingam
 
Nadhani huwa inaitwa Yorkshire derby
 
Wiki ijayo Man Utd anacheza na Chelsea na Hyo game man anashinda
 
Sawa karibu tena Manchester united usione aibu kurudi siku Liver itakavyo fall apart tena siku c nyingi
 
Ni uamuzi mzr sababu hata man city siku hizi wanajaa vibanda umiza
 
Nlitaka kuhamia liva ila waliniudhi walinichania mkeka ilipocheza na napoli japo nlimpa goli moja mkononi fala sana nikaona ndo walewale..nkarjd zangu man u
 
#nyerereday2018
#bethelegacy
#bringbackourMO
 
Kuna kichwa umekisahau, kinaitwa MosDef.

Hicho kichwa hukikuti mahali pengine isipokuwa kwenye thread ya Liverpool tu.
Haha kweli asee nimemsahau Kop. Wewe nilikuona umechangia tayari ndio maana.

Hivi King Ngwaba huwa anachangia kwingine zaidi ya kule? [emoji23]

Naona kuna kadogo ka Arsenal kameanzisha ligi mle kanaitwa Aaron. Siwezagi kabisa kubishana asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…