nimehama timu wazee..

nimehama timu wazee..

Kwa kweli kati ya vitu huwezi kuhama ni timu.

Siku tukiwa vizuri utarudi tu. Ni suala la kuvumilia tu hakuna timu yenye mafanikio muda wote wa maisha yake. Kuna mapito kwenye timu zote kubwa duniani.
Kumbe wewe huwa ni mwanitesa😂
 
Back
Top Bottom