nimehama timu wazee..

nimehama timu wazee..

Hama tuu kaungane na wenzako ambao wengi wao ni wasaliti wa timu zao za awali.
 
habari za saizi wakuu kuanzia leo tarehe 23 mwezi 9 mwaka 2019 kwa akili zangu timamu nimeamua kuhama manchester united na kuamia manchester city sijalazimishwa na mtu nimeamua mi mwenyewe na sababu zilizo nifanya nihame ni hizi 1.kocha hana mbinu na uwezo wa kubadili mchezo yani hajui plan b 2.wachezaji hakuna yani anatoka straika anaingia kiungo 3.kocha anabet saana 4.kamuuza lukaku afu ajanunua mbadala wake 5.timu inanirudisha nyuma kila siku naiamini kwenye mikeka naipa win direct lakin haijawahi kushinda na jana yenyewe tu imenikosesha milioni 10
shabiki halisi wa mpira hawezi kuhama timu, kwani timu unayoipenda ni kama mpenzi wa damu, si rahisi kama kubadilisha kabila yaani haipo! !
 
manchester sijaama mkuu au haujanielewa
 
habari za saizi wakuu kuanzia leo tarehe 23 mwezi 9 mwaka 2019 kwa akili zangu timamu nimeamua kuhama manchester united na kuamia manchester city sijalazimishwa na mtu nimeamua mi mwenyewe na sababu zilizo nifanya nihame ni hizi 1.kocha hana mbinu na uwezo wa kubadili mchezo yani hajui plan b 2.wachezaji hakuna yani anatoka straika anaingia kiungo 3.kocha anabet saana 4.kamuuza lukaku afu ajanunua mbadala wake 5.timu inanirudisha nyuma kila siku naiamini kwenye mikeka naipa win direct lakin haijawahi kushinda na jana yenyewe tu imenikosesha milioni 10
ubongo wako waki Manchester United uache uko uko usituharibie team yetu
 
Kwa kweli kati ya vitu huwezi kuhama ni timu.

Siku tukiwa vizuri utarudi tu. Ni suala la kuvumilia tu hakuna timu yenye mafanikio muda wote wa maisha yake. Kuna mapito kwenye timu zote kubwa duniani.
mimi nimehama simba ikiwa na mafanikio nikaenda azam napo nikaona jau nikahamia Gwambina fc
 
ubongo wako waki Manchester United uache uko uko usituharibie team yetu
ahahahaha mkuu kwani umeanza kushabikia man city lini manake mashabiki wa man city wengi ni wa arsenal eti wanataka vikombe
 
toka enzi robinho anaflop pale nilitoka nae Acmilan
 
Back
Top Bottom