Uyo anashabikia sio mpenzi!Timu kama kabila huwezi kuwahama waulize wenzako wa ASENO
Kumbe wewe huwa ni mwanitesa😂Kwa kweli kati ya vitu huwezi kuhama ni timu.
Siku tukiwa vizuri utarudi tu. Ni suala la kuvumilia tu hakuna timu yenye mafanikio muda wote wa maisha yake. Kuna mapito kwenye timu zote kubwa duniani.
Tena yule mwanitesa mkongwe.Kumbe wewe huwa ni mwanitesa[emoji23]
Hao sio Arsenal ni mamluki, Arsenal halisi hatuwez kuhama timu ,Arsenal huwa wanajificha kwenye kichaka cha Man City au Barcelona
Mkongwe wapi mtoto wa juzi tuTena yule mwanitesa mkongwe.
Tuliza nyuzi zako wewe.Mkongwe wapi mtoto wa juzi tu
🙄🙄🙄kwendraaaTuliza nyuzi zako wewe.
Man u je?arsenal wasindikizaji
dah mkuu ila bado nipo manchester
Mkuu wewe si ndo viatu vya Samaki au nimekosea?Tena yule mwanitesa mkongwe.
Mkuu wewe si ndo viatu vya Samaki au nimekosea?
Sawa Sawa mkuu tupo pamoja , japo nilizoea lile jinaNdimi.
[emoji3] Nilipooa nikaona nijiite jina la Mwanangu.Sawa Sawa mkuu tupo pamoja , japo nilizoea lile jina
Tupo tumetulia mkuuTimu kama kabila huwezi kuwahama waulize wenzako wa ASENO