Sisi ni wa uhakika hakafu ni wastaarabu hatunag kelele waka nakeke. Wenye makeke na makelele walikuwa Man U lakini sasa hivi waneufyata!wa aseno wanafki
Hongera sana...Walimbania a little migician Dybala sasa acha waendelee kupigwa mamaee
Timu kama kabila huwezi kuwahama waulize wenzako wa ASENO
shabiki halisi wa mpira hawezi kuhama timu, kwani timu unayoipenda ni kama mpenzi wa damu, si rahisi kama kubadilisha kabila yaani haipo! !habari za saizi wakuu kuanzia leo tarehe 23 mwezi 9 mwaka 2019 kwa akili zangu timamu nimeamua kuhama manchester united na kuamia manchester city sijalazimishwa na mtu nimeamua mi mwenyewe na sababu zilizo nifanya nihame ni hizi 1.kocha hana mbinu na uwezo wa kubadili mchezo yani hajui plan b 2.wachezaji hakuna yani anatoka straika anaingia kiungo 3.kocha anabet saana 4.kamuuza lukaku afu ajanunua mbadala wake 5.timu inanirudisha nyuma kila siku naiamini kwenye mikeka naipa win direct lakin haijawahi kushinda na jana yenyewe tu imenikosesha milioni 10
Baada kuifunga Chelsea goli 4, Rio Ferdinand alizungumza kuwa Man Utd haimuhitaji kabisa Dyabala.
ubongo wako waki Manchester United uache uko uko usituharibie team yetuhabari za saizi wakuu kuanzia leo tarehe 23 mwezi 9 mwaka 2019 kwa akili zangu timamu nimeamua kuhama manchester united na kuamia manchester city sijalazimishwa na mtu nimeamua mi mwenyewe na sababu zilizo nifanya nihame ni hizi 1.kocha hana mbinu na uwezo wa kubadili mchezo yani hajui plan b 2.wachezaji hakuna yani anatoka straika anaingia kiungo 3.kocha anabet saana 4.kamuuza lukaku afu ajanunua mbadala wake 5.timu inanirudisha nyuma kila siku naiamini kwenye mikeka naipa win direct lakin haijawahi kushinda na jana yenyewe tu imenikosesha milioni 10
kumbe wanawake tu ndiyo hawanaga uvumilivu?wewe ni sawa na mwanamke ambaye hana uvumilivu katika ndoa
na kwa hali hii utavunja ndoa nyingi sana
mimi nimehama simba ikiwa na mafanikio nikaenda azam napo nikaona jau nikahamia Gwambina fcKwa kweli kati ya vitu huwezi kuhama ni timu.
Siku tukiwa vizuri utarudi tu. Ni suala la kuvumilia tu hakuna timu yenye mafanikio muda wote wa maisha yake. Kuna mapito kwenye timu zote kubwa duniani.
toka enzi robinho anaflop pale nilitoka nae Acmilanahahahaha mkuu kwani umeanza kushabikia man city lini manake mashabiki wa man city wengi ni wa arsenal eti wanataka vikombe
nimekupatamanchester sijaama mkuu au haujanielewa