Nawasalimu....
Miezi kadhaa nyuma niliomba ushari kuhusu ujenzi. Leo narudi tena kwenu. Wazoefu na wajuzi mnisaidie. Nitatumia tofali za kuchoma na ntajengea tope mpaka lenta ambapo ntamalizia kwa cement (ushauri wa fundi ni kwamba wakati wa upauaji tope halitahimili gonga gonga) Nimeanza na msingi na kesho...
Samahani Sana huo Uzi hapo juu Kwa muda Sasa sijarudi na wengi najua mlikua na hamu ya kujua nimefika wapi.
Leo sitaweka details za pesa ilotumika ila Kwa ufupi Sana mwezi wa 10/2022 nilihamia kwangu nikiwa nimekamilisha Kila kitu kasoro choo Cha nje AMBAPO pia nilitegemea KUWEKA tank la juu Ili kusambaza maji hasa ndani (Kwa Sasa namtumia kisima)
Update za mwisho ntawaweke exel yenye gharama za msingi mpaka nahamia.
View attachment 2686132