Nimehamia kwangu

Nimehamia kwangu

Nawasalimu....

- Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

Samahani Sana huo Uzi hapo juu Kwa muda Sasa sijarudi na wengi najua mlikua na hamu ya kujua nimefika wapi.

Leo sitaweka details za pesa ilotumika ila Kwa ufupi Sana mwezi wa 10/2022 nilihamia kwangu nikiwa nimekamilisha Kila kitu kasoro choo Cha nje AMBAPO pia nilitegemea KUWEKA tank la juu Ili kusambaza maji hasa ndani (Kwa Sasa namtumia kisima)

Update za mwisho ntawaweke exel yenye gharama za msingi mpaka nahamia.

View attachment 2686132
Mi mwaka huu hauishi maana mefikia pazuri bila mkopo ila naona nasuasua sana sasa nazama NBC BANK nikamilishe
 
Hahahahah pambana mzeee
 
Nawasalimu....

- Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

Samahani Sana huo Uzi hapo juu Kwa muda Sasa sijarudi na wengi najua mlikua na hamu ya kujua nimefika wapi.

Leo sitaweka details za pesa ilotumika ila Kwa ufupi Sana mwezi wa 10/2022 nilihamia kwangu nikiwa nimekamilisha Kila kitu kasoro choo Cha nje AMBAPO pia nilitegemea KUWEKA tank la juu Ili kusambaza maji hasa ndani (Kwa Sasa namtumia kisima)

Update za mwisho ntawaweke exel yenye gharama za msingi mpaka nahamia.

View attachment 2686132
Hongera mkuu,imekutoka ngapi mpk hapo...?
 
IMG_20210730_173924.jpg
ukiwa mungo uwe na kumbukumbu hii ndio post yako iliyopita unaanza ujenzi ukasema umemua kutumia tofari za kuchoma na utajengea tope tu ajabu ukatuonyeeha boma hili la tofari za block tukakuacha tu

Haya angalia ramani ya hili boma ulilosema umeanza kujenga na hii nyumba unayosema imekamilika ni vitu viwili tofauti maaa uku ndio mbele ya nyumba havifanani kabisa na hii nyumba ya sasa

Acha uongo
 
View attachment 2689999ukiwa mungo uwe na kumbukumbu hii ndio post yako iliyopita unaanza ujenzi ukasema umemua kutumia tofari za kuchoma na utajengea tope tu ajabu ukatuonyeeha boma hili la tofari za block tukakuacha tu

Haya angalia ramani ya hili boma ulilosema umeanza kujenga na hii nyumba unayosema imekamilika ni vitu viwili tofauti maaa uku ndio mbele ya nyumba havifanani kabisa na hii nyumba ya sasa

Acha uongo
Miongoni mwa kiumbe wa ajabu ni wewe pittia basi hata post zote ufiche ujinga wako next time jiongeze mkuu umeona upande mmoja wa nyumba
PXL_20230319_064314515.jpg
 
Miongoni mwa kiumbe wa ajabu ni wewe pittia basi hata post zote ufiche ujinga wako next time jiongeze mkuu umeona upande mmoja wa nyumba
Miongoni mwa kiumbe wa ajabu ni wewe pittia basi hata post zote ufiche ujinga wako next time jiongeze mkuu umeona upande mmoja wa nyumbaView attachment 2690047
Bado unabisha tu haya hongera ila ukweli unaujua fundi ujenzi wetu
 
Back
Top Bottom