james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 693
- 690
hongera sn Mkuu hy ndio maamuzi ya kiume naMkuu umetumia ngapi mpka hapo
Jilipue kivingine,Mi mwaka huu hauishi maana mefikia pazuri bila mkopo ila naona nasuasua sana sasa nazama NBC BANK nikamilishe
Time inakuwa ndefu aiseeJilipue kivingine,
Achana na mkopo wa nyumba ya makazi.
View attachment 2689999ukiwa mungo uwe na kumbukumbu hii ndio post yako iliyopita unaanza ujenzi ukasema umemua kutumia tofari za kuchoma na utajengea tope tu ajabu ukatuonyeeha boma hili la tofari za block tukakuacha tu
Haya angalia ramani ya hili boma ulilosema umeanza kujenga na hii nyumba unayosema imekamilika ni vitu viwili tofauti maaa uku ndio mbele ya nyumba havifanani kabisa na hii nyumba ya sasa
Acha uongo
Mkuu Excel iko wapi?Nawasalimu....
- Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja
Samahani Sana huo Uzi hapo juu Kwa muda Sasa sijarudi na wengi najua mlikua na hamu ya kujua nimefika wapi.
Leo sitaweka details za pesa ilotumika ila Kwa ufupi Sana mwezi wa 10/2022 nilihamia kwangu nikiwa nimekamilisha Kila kitu kasoro choo Cha nje AMBAPO pia nilitegemea KUWEKA tank la juu Ili kusambaza maji hasa ndani (Kwa Sasa namtumia kisima)
Update za mwisho ntawaweke exel yenye gharama za msingi mpaka nahamia.
View attachment 2686132
Una wivu na hasira za mikopoView attachment 2689999ukiwa mungo uwe na kumbukumbu hii ndio post yako iliyopita unaanza ujenzi ukasema umemua kutumia tofari za kuchoma na utajengea tope tu ajabu ukatuonyeeha boma hili la tofari za block tukakuacha tu
Haya angalia ramani ya hili boma ulilosema umeanza kujenga na hii nyumba unayosema imekamilika ni vitu viwili tofauti maaa uku ndio mbele ya nyumba havifanani kabisa na hii nyumba ya sasa
Acha uongo
Nzuri saana duuu vyumba vingapi? HiviNawasalimu....
- Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja
Samahani Sana huo Uzi hapo juu Kwa muda Sasa sijarudi na wengi najua mlikua na hamu ya kujua nimefika wapi.
Leo sitaweka details za pesa ilotumika ila Kwa ufupi Sana mwezi wa 10/2022 nilihamia kwangu nikiwa nimekamilisha Kila kitu kasoro choo Cha nje AMBAPO pia nilitegemea KUWEKA tank la juu Ili kusambaza maji hasa ndani (Kwa Sasa namtumia kisima)
Update za mwisho ntawaweke exel yenye gharama za msingi mpaka nahamia.
View attachment 2686132
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sanaUkiona pongezi zote hizi kwa nyumba hii unapata picha wengi wetu humu tunaishije.