Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Please spare my ribs[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]karibu huku tandale mkuu, uone dira linavyochomekwa kwenye chupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Please spare my ribs[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]karibu huku tandale mkuu, uone dira linavyochomekwa kwenye chupi
kuna iliyovunjika???Please spare my ribs[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hata hao uwaonao mlimani city wengi wao wanaishi tabata pale wamekwenda tu kuuza suraMkuu tembelea na Mlimani City pale, visu balaa, ova mamtoni
Wakuu,
Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.
Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
Aiseeeee!!!!karibu huku tandale mkuu, uone dira linavyochomekwa kwenye chupi
weka picha tusaminishe.Wakuu,
Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.
Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
Bar zangu na ratiba yake mimi mkazi wa tabataTabata kubwa...wewe upo tabata ipi?maana kuna maeneo kama tabata matumbi au reli ni balaa kwa vibaka.ila kuhusu watoto wazuri naunga hoja mkono maana home ni tabata bima nimeishi kwa muda mrefu kabla sijahamia kinyerezi.
Karibu tabata kwenye bata! ila uwe makini vicheche wengi sana tabata.
Wakuu,
Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.
Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
unashangaa nini sasaAiseeeee!!!!