Nimehamia Tabata, kila mtoto ninaekutana nae ni kisu balaa, sijui kama nitapona mie

Yaah! msisahau na kuja huku Masaki kupanga nyumba ni milion moja kwa mwezi paaa juu linavuja maji!
 
Jamani me nataka kuhamia mjini, natoka Vigwaza hapa, sehemu gani nzuri huko mjini? Yaani Usalama, Usafi, usafiri.....
 
Tabata mafoleni tu hakuna jipya
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mbona siku hizi vijana mmelogwa akili na wasiowachawi nawaambieni ole wao wanaofikiri ngono na zinaa ,uasherati na uzinzi thawabu yao ipo ndani ya mioyo yao ole wenu vijana na wazee maana siku hizi zimekuwa mbaya kuliko mnavyofikiri MUNGU AWASAIDIE
 
Tabata kubwa...wewe upo tabata ipi?maana kuna maeneo kama tabata matumbi au reli ni balaa kwa vibaka.ila kuhusu watoto wazuri naunga hoja mkono maana home ni tabata bima nimeishi kwa muda mrefu kabla sijahamia kinyerezi.
 
Wakuu,

Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.

Jamani badilisheni maeneo muone mapya.

Kwani kuna aliyekuambia utongoze kila demu umuonaye? Hayo ni matatizo yako tu ya kiakili, you need to grow up.
 
Wakuu,

Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.

Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
weka picha tusaminishe.
 
Tabata kubwa...wewe upo tabata ipi?maana kuna maeneo kama tabata matumbi au reli ni balaa kwa vibaka.ila kuhusu watoto wazuri naunga hoja mkono maana home ni tabata bima nimeishi kwa muda mrefu kabla sijahamia kinyerezi.
Bar zangu na ratiba yake mimi mkazi wa tabata
J3 mara nyingi double d pale Magengen
J4 micassa Njiwa Street pale magengen
J5 nasogea coppa and cabana pale Tanesco kuelekea barakuda
Alhams narud pande za hom pale kwetu pazuri au toroka uje part two
Ijumaa naweza jisogeza segerea kupata kitimoto
BATA linaendelea kp kiwanja cha ukweli St Mary
Jumamos km kawa kwetu pazuri
Jumapil pia kwetu pazuri pananoga
Na hii ni kwa hisan ya upendo tu wala bata kujaaaa
Karibu tabata kwenye bata! ila uwe makini vicheche wengi sana tabata.

Back
Top Bottom