Nimehamia Yanga Rasmi

Nimehamia Yanga Rasmi

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
 
umechelewa sana wengi walishahama kimya kimya..uoni game za yanga zinavyojaza sahivi..
 
Karibu dunduka, Yanga raha, tutakufundisha kusoma na kuandika pia. Maana ulikotoka ni mbumbumbu FC [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mpira siyo Mpila.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hasante mtopolo, ila hapo kweny kuitwa utopolo ndo inabidi nipavumilie
 
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
Huwa hakuna shabiki wa aina hiyo. Mashabiki wanaweza wakaiacha timu yao na kwenda kuanzisha timu zao au huenda kuchukua timu iliyo dhaifu na kwenda kuiongezea nguvu, lakini huo ushabiki wa kuhama timu kisa inafanya vibaya haupo.
Timu inapofanya vibaya maana yake ni wakati wenu wa ku feel challenged kuingia kuongeza support, siyo kukimbia.
Mfano mzuri ni wale walioiacja Yanga mwaka 1936!wakaenda kuanzisha timu yao ikaitwa Queens, baadaye Sunderland na baadaye tena Simba, wengine tena wakaiacha Yanga na kwenda kuanzisha timu yao wakaiita Pan African.
Mwingine akaiacha Simba na kwenda kuanzisha Azam
 
Back
Top Bottom