Nimehamia Yanga Rasmi

Nimehamia Yanga Rasmi

Sawa mkuu, mimi ndio nimeshamove on ivoo. Na nimefollow page yao Instagram. Natarajia mambo makubwa kwa hii timu ambayo hayakuweza kufikiwa huko nilipokuwa, nawaona wanaenda kuteka soka la vilabu barani Afrika, labda itokee ajali za kimpira maana mpira unakuwaga na suprize zake
Kila la heri Mkuu

Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake Mkuu, nakutahadharisha tu
 
Simba imekua timu mbovu sana kuna hatari kubwa za mashabiki zake kutumia gharama kubwa kwenye matibabu binafsi.
 
Mpira wa simba na yanga ni kama homa.

Mara inapanda mara imeshuka. Hakuna consistency.

Utahama mara kwa mara.

Awamu hii ikiisha believe me, Yanga itadorora mno.
 
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
Bora uende Yanga. Huwezi andika mpila badala ya mpira ukabaki SIMBA
 
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
Wewe ni utopolo damu damu tokea zamani!! Kwenye mpira huwa wanahama wachezaji lakini siyo mashabiki!! Hata mwandiko wako unanukia utopolo!!
 
Mtoto kautaa, mtoto kataka nini mtoto, kapewa wembe mtoto.
 
Kuna jambo likifanyika wengi tutakuunga mkono, jina Yanga lifutwe tu. Bora iitwe Utopolo Fc, Yanga? Ina maana gani kwanza?
 
Mpira wa simba na yanga ni kama homa.

Mara inapanda mara imeshuka. Hakuna consistency.

Utahama mara kwa mara.

Awamu hii ikiisha believe me, Yanga itadorora mno.
Kwa sasa nimehamia Yanga, ya huko mbeleni anayejua ni Mungu
 
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
KWa hiyo kuanzia leo wewe UTOPOLO
 
Hapana, Simba lunyasi anatuachia, ikibidi hata kwa Kibatala tutampelaka labda awe anatania.
Mkuu nimeshtoka huko, na hii week inayoqnza kesho nanunua jezi kabisa, Simba uwongo uwongo ndio mwingi, tunadanganywa tumesajili wachezaji bora, benchi la ufundi bora, ila njoo uwaone sasa uwanjani[emoji706][emoji706]
 
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
Dah mapema mbona
 
Kabla ya kuwa Simba ulitokea wapi?
 
Back
Top Bottom