Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
umechelewa sana wengi walishahama kimya kimya..uoni game za yanga zinavyojaza sahivi..Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
HahaUtarudi tu, msaliti wewe!
Wacha niwe msaliti. Furaha ya maisha yangu ni muhimu kuliko huo usaliti wenyeweUtarudi tu, msaliti wewe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hasante mtopolo, ila hapo kweny kuitwa utopolo ndo inabidi nipavumilieKaribu dunduka, Yanga raha, tutakufundisha kusoma na kuandika pia. Maana ulikotoka ni mbumbumbu FC [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mpira siyo Mpila.
Huwa hakuna shabiki wa aina hiyo. Mashabiki wanaweza wakaiacha timu yao na kwenda kuanzisha timu zao au huenda kuchukua timu iliyo dhaifu na kwenda kuiongezea nguvu, lakini huo ushabiki wa kuhama timu kisa inafanya vibaya haupo.Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
Sasa mkuu lasaba na mimi kuhamia yanga vina mahusiano ganiJifunze kwanza kuandika, ohhh kumbe la saba mko mtaani, umeshaanza pre form one?
π π π π hilo jina limeshaisha muda wake, usiogope. Yaani tuna kazi, shabiki akitoka mbumbumbu FC ni Ahsante siyo Hasante πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hasante mtopolo, ila hapo kweny kuitwa utopolo ndo inabidi nipavumilie
Huo mtazamo wao hao, tatizo la simba ni timu kuongozwa kwa propagandaWenzio wanasema Yanga wamesajili wazee watapimwa umri na akina Mpanzu