Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetafuta kwa umbali ninaoenda wanataka laki 8, sina hiyo pesa.Kwakua nilishwahi kuhama kikazi,siwezi mshauri mtu auze vitu,utauza kwa bei ya hasara na utanunua kwa bei ya juu,niliuza godoro nne za kampuni ya dodoma 5x6 inchi 8 kwa sh 50,000@ vitanda vya mbao za mninga 3 kwa 150,000@ mbinde ni pale nilipotaka kuvirudisha,nilijuta.
Tafuta magari ya mizigo wakubebee,usiuze
Binti wa kazi siendi nae labda nikuachie huyo
Mbona bei rahisi sana.Isije ikawa deal famba!!Sofa 200,000
Tv solarmax 32" 250,000
Showcase 70,000
Cherehani mpya haijatumika hata maramoja 250,000
Magodoro matatu yote 250,000
Kitanda dabodeka 250,000
Meza ya jikoni 15,000
Friji 230,000
Viache, vihifadhi sehemu ukijapanga unavirudia, pia angalia magari yanayoleta mazao, usikodi gari.Nimetafuta kwa umbali ninaoenda wanataka laki 8 sina hiyo pesa
Afamba vp mkuu wakati ni vitu vyangu vya ndani na siviuzi kwa biashara ila ni kwa sababu nimehamishwa kikazi, ukija nitakuonesha barua ya uhamisho. Ukiuza bei kubwa ni ngumu na natakiwa kuondoka kesho kutwa Jumapili.Mbona bei rahisi sana.Isije ikawa deal famba!!
Hio Bei ya Tv la Kichina unauza Bei ya Hisense mkuu... Ushauri TV Brand za Aina hio mpya Kabisa zinauzwa 195k. Pinguza Bei upate wateja.Sofa 200,000
Tv solarmax 32" 250,000
Showcase 70,000
Cherehani mpya haijatumika hata maramoja 250,000
Magodoro matatu yote 250,000
Kitanda dabodeka 250,000
Meza ya jikoni 15,000
Friji 230,000
🤣🤣🤣🙌🏿Dalali Kadalaliwa Mkuu.