INAUZWA Nimehamishwa kikazi, nauza vitu vya ndani

INAUZWA Nimehamishwa kikazi, nauza vitu vya ndani

Mkuu tafuta madalali wakutafutie lori la mkoa uendako, watakubebea hivyo vitu vyote.
 
Nimetafuta kwa umbali ninaoenda wanataka laki 8 sina hiyo pesa
Duuh laki nane! Watu wengine mbinguni watapasikia tu kwa mwamposa. Nilijua nitasafirisha vitu vyangu mbona mnanitisha
 
Tayari nimeshauza kila kitu kilichobaki ni cherehani mpya ambayo haijatumiaka kabisa buttefly 250,000
 
Back
Top Bottom