Hakuna uhusiano wa kuchepuka na nguvu kuisha hapohapo kidaktari, ni either upatane na mkeo(akusamehe) au ukae vizuri na huyo mchepuko kama kuna kitu alikufanyia, ni kifungo cha kiroho hichoAhsante kwa ushauri mkuu lkn vp siwezi kupata tiba ya kidactari ya kutatua tatizo
Ahsante mkuu ila mke wangu kwa asilimia kubwa hana kinyongo na mm kwani kiuhalisia anafaham kuwa nilichepuka japo sikumwambia na pia ananisaidia sana kutafuta wataalam huko kwao ila hatufanikiwi na kuhusu mtu niliechepuka nae sina mawasiliano nae kwa sasa nilipita nae tu kimasihara akasepa tukapoteana hadi leo.hakuna uhusiano wa kuchepuka na nguvu kuisha hapohapo kidaktari, ni either upatane na mkeo(akusamehe) au ukae vizuri na huyo mchepuko kama kuna kitu alikufanyia, ni kifungo cha kiroho hicho
Hapana mkuu haisimami kabsaKama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Unaenda kupigwa!!!Kama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Hapana mkuu haisimami kabsa
Nikupe pole tuHapana mkuu haisimami kabsa
Kama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Unaenda kupigwa.Hapana mkuu haisimami kabsa
Pole sana! Wala sipo huko, Muha Joannah unamuona hyu jamaaUnaenda kupigwa!!!
Kuwa makini.
Rudi kamalizane na mchepuko wako. Kasha kupiga kufuli ila uende kwa busara na kubembeleza ikibidi shirikisha wazee wenye hekima.Naomba msaada uume wangu hausimami.
Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).
Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.
Natanguliza ahsante
Kuniitia hao watu haimsaidii muhusika,wala sikusema wewe ni tapeli.Pole sana! Wala sipo huko, Muha Joannah unamuona hyu jamaa
Una tatizo si bure! huyu jamaa kaomba msaada na mimi nikamshauri kadri nijuavyo, wewe ukatia maoni yako. Ulitaka kijana nikuiteje?Kuniitia hao watu haimsaidii muhusika,wala sikusema wewe ni tapeli.
Mimi nimechukua nafasi yangu kama mwanajamii kumshauri humu hatufahamiani JF zipo pinned thread kutahadharisha watu dhidi ya kutapeliana humu ina maana walioziweka hawakujua haya yapo?
Kama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Hey tusichoshane kufanyishana watoto hapa!Una tatizo si bure! huyu jamaa kaomba msaada na mimi nikamshauri kadri nijuavyo, wewe ukatia maoni yako. Ulitaka kijana nikuiteje?
Kibaya zaidi mkuu uyo mchepuko nilipita nae kimasihara tu yaani nilipita nae tukaachana na hatukuonana tena na sina mawasiliano naeRudi kamalizane na mchepuko wako. Kasha kupiga kufuli ila uende kwa busara na kubembeleza ikibidi shirikisha wazee wenye hekima.