Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Mwamba ingia PM tupe contacts za huyo maana kuna wana kibao show hazisimami vizuri ingia PM na mawasiliano fanya fanya mambo bahariaKama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Mkuu haisimami kwa wife tu au hata nje nako haisimami?Naomba msaada uume wangu hausimami.
Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).
Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.
Natanguliza ahsante
Mchepuko tushapoteana mkuu cmjui alikoOngea na huo mchepuko mwambie hio ishu, pia huyo mkeo ongea nae, na Je hata ukirudi kwa mchepuko pia dude haisimami? Ukishindwa nashauri Anza kufanya mazoezi ili uwe fundi wa kunyonya papuchi hadi upewe endorsement za papuchi show
Kuna kitu kati ya mchepuko au mkeo alikifanyaNaomba msaada uume wangu hausimami.
Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).
Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.
Natanguliza ahsante
Sasa kama kisasi kitatoka wapi na dem tulikutana tu kwene matukio nikapga nikasepa wala hatujuani mkuuKwenye maisha kuna karma na visasi je, wewe umetafakari hilo? Chunguza sana historia yako ya mahusiano kuna mademu wana visasi.
Laiti tatizo laTangazo lako lipo creative sana
Kwa bahati nzuri nimeongea naye anayetoa dawa kasema anaweza kumsaidia. Kutokana na umuhimu wa mimi kutotaka kujulikana kama masharti ya JF yanavyotakikana. Nitamuomba Muha wangu Joannah anisaidie kwa hilo. Nakuhakikishia huyu jamaa anatumia dawa za kiasili kutibu migongo.Mwamba ingia PM tupe contacts za huyo maana kuna wana kibao show hazisimami vizuri ingia PM na mawasiliano fanya fanya mambo baharia
Muha bwana😅😅..umempasia Kwa secretary wako.... Anyways kama yupo serious sisi tutampa ushirikiano.Laiti tatizo la
Kwa bahati nzuri nimeongea naye anayetoa dawa kasema anaweza kumsaidia. Kutokana na umuhimu wa mimi kutotaka kujulikana kama masharti ya JF yanavyotakikana. Nitamuomba Muha wangu Joannah anisaidie kwa hilo. Nakuhakikishia huyu jamaa anatumia dawa za kiasili kutibu migongo.
Kwa taarifa yako, Kuna mkubwa fulani mzanzibari aligombea hadi urais na JPM akawa kati ya 5 bora alishafanyiwa operation 5 India lakini within two weeks kapona. Hata mie aliniponyesha mgongo ulonisumbua tangu 1998. Ana dawa nyingi lakini hatakli kujitangaza. Yeye ni mtawa wa RC, halafu watu ati nataka kupiga. Very disgusting maana hawajui jinsi mwanaume unavyonyanyasika isiposimama au kupiga kimoja chali. Imagine Mtu kama akina To yeye na bamia zake ukimweka kimoja tu!!!! Ref Bamia ni muhimu wadada wenzangu!
Uha wako, mara hii unajigeuza Secretary wangu wakati mimi mesenja wako! Vijana nawaogopa kama ukoma ujue. Ila ni vyema kumsaidia muhitaji. Siamini kuna mwanaume wa malika yetu hajapitia kipindi kigumu kama kile! Unapata msongo wa mawazo na mwenzako ndipo anafurahia maana anakuendesha atakavyoMuha bwana😅😅..umempasia Kwa secretary wako.... Anyways kama yupo serious sisi tutampa ushirikiano.
Nenda, ni kati ya 6m na 10m. Kama una nhif ni buuurrree kabisa.Ni kweli ni mill 10 mkuu au niende ntajulia hukohuko maana nilikuwa na wazo la kwenda hospital
Inasikitisha,Kwa hili suala lake Binafsi sikuwa na namna wala taarifa ila Kwa vile unamjua mtu,najua atasidika Kazanazo nichek PM.Uha wako, mara hii unajigeuza Secretary wangu wakati mimi mesenja wako! Vijana nawaogopa kama ukoma ujue. Ila ni vyema kumsaidia muhitaji. Siamini kuna mwanaume wa malika yetu hajapitia kipindi kigumu kama kile! Unapata msongo wa mawazo na mwenzako ndipo anafurahia maana anakuendesha atakavyo
[emoji52] pole sana aisee,nikikumbuka yaliyomkuta mdogo wangu nahisi kuishiwa nguvu kabisa. Cha kufanya kaa chini na huyo mchepuko ongea nae huko aliko hifadhi hivyo vitu atoe maisha yaendeleeNaomba msaada uume wangu hausimami.
Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).
Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.
Natanguliza ahsante
Utoto raha sana cc Saint Anno II
Mdogo wako yepi yalimkuta[emoji52] pole sana aisee,nikikumbuka yaliyomkuta mdogo wangu nahisi kuishiwa nguvu kabisa. Cha kufanya kaa chini na huyo mchepuko ongea nae huko aliko hifadhi hivyo vitu atoe maisha yaendelee
Ahsante mkuu, but dem nimepoteana nae cjui aliko na cna mawasiliano nae ko siwez kumpata je hakuna namna ingne naweza fanya nikasaidika?[emoji52] pole sana aisee,nikikumbuka yaliyomkuta mdogo wangu nahisi kuishiwa nguvu kabisa. Cha kufanya kaa chini na huyo mchepuko ongea nae huko aliko hifadhi hivyo vitu atoe maisha yaendelee
Jambo hilihili lililompata ndugu yetu #kazanazoMdogo wako yepi yalimkuta