Nimehangaika sana bila mafanikio

Nimehangaika sana bila mafanikio

Kama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Mwamba ingia PM tupe contacts za huyo maana kuna wana kibao show hazisimami vizuri ingia PM na mawasiliano fanya fanya mambo baharia
 
Kwenye maisha kuna karma na visasi je, wewe umetafakari hilo? Chunguza sana historia yako ya mahusiano kuna mademu wana visasi.
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
Mkuu haisimami kwa wife tu au hata nje nako haisimami?
 
Kama upo jirani na Mtwara nichek nikuunganishe dogo mmoja hivi, na gharama zake ni za kawaida sana haifiki hata 100k na unalipa baada ya kuona upo vzr.
Kwa maana utafika na mkeo utapewa gheto then Unapewa dawa unatumia unazama gheto unakamua mkeo. Nina ushuhuda wa watu kadhaa.
 
Mkuu haisimami kwa wife tu au hata nje nako haisimami?
Haisimami kabisa mkuu, hata kwa mchepuko wala kwa wife mwanzoni pale ilikuwa hisia nazipata kdg then zinapotea lkn asaiv hamna kabsa
 
Ongea na huo mchepuko mwambie hio ishu, pia huyo mkeo ongea nae, na Je hata ukirudi kwa mchepuko pia dude haisimami? Ukishindwa nashauri Anza kufanya mazoezi ili uwe fundi wa kunyonya papuchi hadi upewe endorsement za papuchi show
Mchepuko tushapoteana mkuu cmjui aliko
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
Kuna kitu kati ya mchepuko au mkeo alikifanya
 
Kwenye maisha kuna karma na visasi je, wewe umetafakari hilo? Chunguza sana historia yako ya mahusiano kuna mademu wana visasi.
Sasa kama kisasi kitatoka wapi na dem tulikutana tu kwene matukio nikapga nikasepa wala hatujuani mkuu
 
Tangazo lako lipo creative sana
Laiti tatizo la
Mwamba ingia PM tupe contacts za huyo maana kuna wana kibao show hazisimami vizuri ingia PM na mawasiliano fanya fanya mambo baharia
Kwa bahati nzuri nimeongea naye anayetoa dawa kasema anaweza kumsaidia. Kutokana na umuhimu wa mimi kutotaka kujulikana kama masharti ya JF yanavyotakikana. Nitamuomba Muha wangu Joannah anisaidie kwa hilo. Nakuhakikishia huyu jamaa anatumia dawa za kiasili kutibu migongo.

Kwa taarifa yako, Kuna mkubwa fulani mzanzibari aligombea hadi urais na JPM akawa kati ya 5 bora alishafanyiwa operation 5 India lakini within two weeks kapona. Hata mie aliniponyesha mgongo ulonisumbua tangu 1998. Ana dawa nyingi lakini hatakli kujitangaza. Yeye ni mtawa wa RC, halafu watu ati nataka kupiga. Very disgusting maana hawajui jinsi mwanaume unavyonyanyasika isiposimama au kupiga kimoja chali. Imagine Mtu kama akina To yeye na bamia zake ukimweka kimoja tu!!!! Ref Bamia ni muhimu wadada wenzangu!
 
Muha bwana😅😅..umempasia Kwa secretary wako.... Anyways kama yupo serious sisi tutampa ushirikiano.
 
Uha wako, mara hii unajigeuza Secretary wangu wakati mimi mesenja wako! Vijana nawaogopa kama ukoma ujue. Ila ni vyema kumsaidia muhitaji. Siamini kuna mwanaume wa malika yetu hajapitia kipindi kigumu kama kile! Unapata msongo wa mawazo na mwenzako ndipo anafurahia maana anakuendesha atakavyo
 
Inasikitisha,Kwa hili suala lake Binafsi sikuwa na namna wala taarifa ila Kwa vile unamjua mtu,najua atasidika Kazanazo nichek PM.
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
[emoji52] pole sana aisee,nikikumbuka yaliyomkuta mdogo wangu nahisi kuishiwa nguvu kabisa. Cha kufanya kaa chini na huyo mchepuko ongea nae huko aliko hifadhi hivyo vitu atoe maisha yaendelee
 
Mdogo wako yepi yalimkuta
 
[emoji52] pole sana aisee,nikikumbuka yaliyomkuta mdogo wangu nahisi kuishiwa nguvu kabisa. Cha kufanya kaa chini na huyo mchepuko ongea nae huko aliko hifadhi hivyo vitu atoe maisha yaendelee
Ahsante mkuu, but dem nimepoteana nae cjui aliko na cna mawasiliano nae ko siwez kumpata je hakuna namna ingne naweza fanya nikasaidika?
 
Back
Top Bottom