Nimehangaika sana bila mafanikio

Umesoma andiko lake vizuri! Kasema kapoteza fedha nyingi. Ila nimemueleza kuwa kama haisiamami siamini kama nilipotaka kumuelekeza kunamfaa. Unaumwa si bure au utoto unakusumbua
 
Umesoma andiko lake vizuri! Kasema kapoteza fedha nyingi. Ila nimemueleza kuwa kama haisiamami siamini kama nilipotaka kumuelekeza kunamfaa. Unaumwa si bure au utoto unakusumbua
Sasa mimi na wewe ni nani hakusoma vizuri andiko la mleta mada?

Kwenye bold,kama ulisoma aliposema kwamba haisimami kabisa hiyo bei ya dawa wewe ulimtajia ya nini huku ukijua wazi huyo doc wako hawezi kumtibu?

Niwe mtoto niwe mzee hai-justfy kuacha kuambiana ukweli otherwise nikuache.
 
Inawezekana uliyepita naye alikuwa pepo, aliyekuwamawindoni kukutege akijivika sura na umbo la mtu flani...
Alivyokuna tu, akapita hiviii========[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wengine wananiambia labda alikuwa mke wa mtu ko kawekewa password ndo nikanasa ila cha ajabu nmehangaika sana kwa wataalam imeshindikana
 
Daaah Pole sana Mkuu.

Kama ulikuwa fresh na tatizo lilikuja baada ya kuchepuka means huyo mwanamke uliyechepuka naye ndiyo shida ,atakuwa ametegwa na mme wake huyo ,hapo ni kumtafuta na kumueleza huwenda akakusaidia kwa kukupa ukweli maana kama ana tatizo hilo it means atakuwa na historia kwamba akitembea na mwanamme basi mashine inakuwa haisimami hapo utapata pa kuanzia.
 
Nikuulize swali moja, vipi ulikutana nae kwenye mazingira gani? Ulitumia condom? Kama ulipiga peku je alifuta sperm kwa kutumia kitambaa chale?, Sikia kama ni wife ndio kakufanyia sio rahisi kukaa yote miaka 3 huku anaelewa fika kakufanyizia, vipi huyo mwanamke mlikutana nae mazingira gani? Ulijua ni mke wa mtu?
 
Nilikutana nae getto, nilifanya na ndom ila ckujua kuwa ni mke wa mtu
 
Siwez kumfikia mkuu sina mawasiliano nae hata ivo simjui anapokaa tulikutana tu kitaa
 
Mke wako ndio mwenye dawa yako
 
Nifanyeje mkuu hapo nishauri
Dah mkuu bahati mbaya Mimi siwajui wataalamu maana sijawai kwenda huko namuomba Mungu Lakini sio kwamba naweza fanya miujiza ikatokea, ushauri wangu ni 1. Uende kwa watumishi wa Mungu eg mwamposa Ukiwa umedhamiria kweli (japo Sina uhakika kama watu wanaponywa au wanaigiza) 2. Tafuta mganga konki sio wa kuambiwa funga safari nenda kigoma au sehemu yoyote huko labda unaweza kupata jawabu la shida yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…