Nimehangaika sana bila mafanikio

Hakuna kilichobadilika katika hiyo miaka 3. Ladha ya papa ni ile ile kwahiyo wala usihangaike hakuna jipya.

Ila nawaza nje ya mada, wife kavumilia miaka 3 yote bila dudu??
 
Ahsante mkuu kwa ushauri
 
Duh pole mkuu
 
Mkuu una umri gani kwanza
 
Umeshajaribu kwenda hospital yoyote kubwa kupata msaada wamadaktar bingwa au physician
 
Inakuwa hivi,kuna baadhi ya wanawake wana mapepo,yale mapepo yanakuwa yamefunga nao ndoa bila ya wao kujua,sasa ukitembea nae yanachofanya ni kukutenda kwa makusudi ili usirudie tena au kukukomoa,nenda ukaombewe kwa watumishi wa Mungu wenye upako,utapona na utakuja hapa kunishukuru,ila ukipona usirudie tena lisije likakupata jambo baya zaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…