Hongera kama Kuna anayeweza kukutamkia KIJINENO.. mwenzangu ungekuwa kikatuni nani angekuwekea glasi macho? basi Mshukuru Mola kwa kuwa Bado jua linakung'arikia na kuna wanaoweza kujigongagonga kwa kukurushia vijineno.. Imagine angekwambia Mbona mdomo unanuka, au mbona umezeeka hivyo mwalimu gani wewe, au angekwambia hiyo nguo ni yako au umeamwazima mama ungejisikiaje.
cha Muhimu ni Kujua shetwani wa aina hiyo wapo wengi, ma afisa elimu na waratibu wa elimu ndio usiseme, ukitaka uhamisho hapo kupona ni Mola asaidie tu, cha Muhimu ni Kuwakwepa, wajibu vizuri, pata chako, achana nao.
Embu ona Huyu, Tumbo lote Hili bado anafakamia mapaja ya watu, mie sometimes sijui kama baadhi ya raia wana Mishipa ya aibu..
Ona mwenzake Huyu sijui sasa Mikono hii anaichomeka kuipeleka wapi ee ...Mola tusaidie viumbe wako huku.. ukiuliza ni kiongozi wa watu.. ukizidi kuuliza ni Baba wa Familia ana Mke/wake na watoto..Tena this TIME unaambiwa alikuwa Waziri wa Elimu ya watoto wetu, sembuse wewe mwalimu sijui huyo nanihii ambaye hata Mwakaleli, Viumbo, Soikwe, Vekweli hawamfaham.. !!
Hawa Hawaharibu week-end ya mtu bali doa la kashfa na fedheha maishani..