Ukitaka nikuhudumie lazima uje na mwenzako la sivyo no huduma! Kwangu haingii mtu mmoja mmoja! hatuzungumzi siri kwenye ofisi! Tukutane huko baa ma kwenye grocery tukatongozane humo siyo ofisini kwanguuuuuuuuuuuuuuuuuu! Ukija mwenyewe tokaaaaaaaaaaaaaa kaje na mwenzako! Fuuuuuuuuuuul stop
Sasa hii ndio yamekukuta?..... JF bana!
Mwenzio juzi kabakwa bila kondom bahati nzuri yeye ndio alikuwa na HIV, wabakaji karibuni wataanza kuishi kwa matumaini. kulaleki!
BADILI TABIA siku hizi wanaume wanatake advantage ya kuwa kwenye ofisi za serikali basi wao kazi ni hiyo tu. hakunaga kufanya kazi nyingine
gfsonwin nimekupenda sana mpenzi wangu....!inakwaje aisee....,??!
vip una nafasi weekend hii???!..yah!...i wanna take you out for nyama choma and sm few bottles....!please baby say yes!..
therafter we can hang out for some more fun!...clubbing and all that!....
can you do it for me swthrt???
@klorokwin usiseme hivyo, mimi hapa nalilia haki yangu ya kuongezewa salary yeye ndiye anayepitisha hizo barua hivi unafikir inakuwaje? je sinitaekwa kwenye areazi hadi nikome?
lakin dada....!
hivi kila ukitongozwa utakuja kuweka updates hap????!......
au niseme we ndo mwanamke pekee unaetongozwa dunia nzima???!...
Mzee wa Rula pia na cheo chake kinanitishia manake anahitajika anipitishie barua ya kuongezewa salary mwenzenu naumia kwa mengiIssue niliyoiona hapo siyo kutongozwa bali mazingira ya utongizwaji. Yaani mtu unakwenda kwa dokta una shida akutongoze huwezi kujisikia vizuri. Ila kama mmekutana kitaa na mtu akapagawa hakuna shobo hapo.
Unakuja unakaa unaeleza shida yako nakusikiliza kabla sijakujibu namuuliza na mwenzako shida yake then nakupeni majibu mnatoka. Huwa siruhusu kabisa kuwa na kiumbe cha kike ofisini kwangu peke yangu. Ikibidi secretary wangu lazima awepo.ni sawa kabisa lakini pia matatizo yanatofautiana wewe unaya handle vipi pamoja.
umetokea kijiji gani?. wenzako wanalegeza jicho na sauti kwenye nafasi kama hizo. fomu unasaidiwa kusign na nauli unapewa. vile vile na pesa za kuanzia maisha unapewa.
kila ikija kukuchoma unampiga kalenda hadi anasizi mwenyewe. mbona wanaume ni rahisi kudanganya?.
kwani mtu akikutongoza lazima umpe au lazima unune kana kwamba hutongozwi? kama ndivyo mlaumu Mungu aliyekupa uzuri. mi mwenyewe nikikuta unalipa nakutongoza aisee.
Ngekewa nimemchukia kwa kua najua mwishowe ni kutumia cheo chake kinaniumiza. asipo sain barua zangu nabaki na cheo kikubwa mshahara wa cheo cha chiniHuna haja ya kufura. Huyo jitumbo unafikiri hana haki ya kupenda au kutamani. Au kuwa kiongozi hakumpi mtu kupenda?
Kama tatizo kuwa umetongozwa na jitumbo basi pengine vijana watanashati si kadiri yako.
Unakuja unakaa unaeleza shida yako nakusikiliza kabla sijakujibu namuuliza na mwenzako shida yake then nakupeni majibu mnatoka. Huwa siruhusu kabisa kuwa na kiumbe cha kike ofisini kwangu peke yangu. Ikibidi secretary wangu lazima awepo.
I know some of ladies huwa wanatumia miili yao as silaha ya kupata huduma wanayoihitaji.[/QUOTE
unachosema pia nakubaliana nacho , lakini hebu jiulize mbaba kama huyu kwa swala nyeti la kiofisi kwanini aweke na mtongozo? tena mwl wa watu huwa niko simple sana sijazoea kuyaona haya anyway labda kwakua siingii ofisi nyingi za watu