Sasa Teamo na wewe unataka kunichekesha manake mimi kutoka na watu hovyo sipendelei hata kidogo mwenzio nalea kichanga n aistoshe wa kumoyo nampenda MUNGU ile mbaya. Lol hakuna wakucompete na G'y
Kiukweli nachukia sana hii tabia ya kuwadhalilisha akina mama!..hasa inapotokea anahitaji msaada.
Nasema hili kutoka moyoni kwa sababu kuna shemeji yangu ni mwalimu mpya yaani kaanza kazi mwaka jana kwenye sekondari moja pale Moro vijijini. Cha kushangaza..headmaster wake alimtongoza na binti huyu ili kutunza heshima yake na ya mumewe aliamua kukataa hayo mahusiano
Kilichofuatia huyu mwalimu mkuu wake hakupeleka baadhi ya documents za huyu binti kwa DED na akapeleka taarifa kwamba huyu binti aliripoti kazini kisha akatoweka. Kwa karibu miezi mi3 huyu binti hakupata mshahara ilhali wenzie wanapata. Alipofuatilia ndio akakuta utumbo huu kwamba hajawahi kuripoti kazini na documents zake hazionekani na aliyeyaleta ni headmaster wake..kisa kanyimwa ngono...Very shame to our society!
Ngekewa nimemchukia kwa kua najua mwishowe ni kutumia cheo chake kinaniumiza. asipo sain barua zangu nabaki na cheo kikubwa mshahara wa cheo cha chini
comeon swiriii....!achana na habar za kichanga au hubby wako!...hata kwangu wapo.....!
a point to note is i love you....!i jst feel lyk hanging out with you and enjoy every fun...!gv me a chance...once and once only....!there is no way u gonna regret...!
just say yes for me baby!...i ws born to make you happy
Hivi kweli kuna kutongoza kidogo na kukubwa?
Blaki Womani nimejiuliza mengi sana, hivi hadi astaafu atakuwa ameshikilia haki za wangapi kwa cheo hiki? binafsi naangalia upepo. nikiona sipati haki yangu naenda kudai kwa stail tofauti kabisa.Pole @gfsinwin mtu akiwa kwenye madaraka fulani anataka kuyatumia kujinufaisha kwa tamaa wanakera sana
kwenye semina elekezi alikuwa amesinzia wala hakumbuki mkuu wake JK aliwaaeleza nini
To me that is big no............. if you were born to make me happy where, were you till i came to this point?
au ndo wewe bosi mwenyewe?
GALIMA nimewaza mengi sana leo, penyewe hapo mimi ni mwl, na yapata miezi kama sita hivi sijaongezewa salry licha ya kuandika barua zisizo pungua 4. leo nakwenda ili kujua status nakutana na haya sasa kweli hii haki yangu nitaipata au ndo niache tu.dar!pole mumy na wa hivi wengi wao wana mdudu(HIV).kazi kuwaza ngono tu.mm huwa nawanyeshea mvua ya matusi haniangalii mara2.
hehehe ukihitaji lawyer nipo, mimi hautonichukia, sina kitambi kabsaa, mzembe naenda gym kabla brekfast.
Teamo wewe kaa pembeni kwanza au nipe maujanja ya kumuweza huyu bosi manake mwenzio snalipwa mshahara wa cheo cha nyuma kwa miezi sita sasa.please mamito.....!
try to understand my cituations!...the thing is "i love you"...!let's put our pasts aside...!una history yako...i hve mine too....!just take me as i am...now!i lv u!...and the reason is love!....comeon swiriii...
please mamito.....!
try to understand my cituations!...the thing is "i love you"...!let's put our pasts aside...!una history yako...i hve mine too....!just take me as i am...now!i lv u!...and the reason is love!....comeon swiriii...
dubu utayasema hayo kama siyo mwanamke unayejipenda na kujiheshimu, pia sili mali za dhuluma mwenzio.umetokea kijiji gani?. wenzako wanalegeza jicho na sauti kwenye nafasi kama hizo. fomu unasaidiwa kusign na nauli unapewa. vile vile na pesa za kuanzia maisha unapewa.
kila ikija kukuchoma unampiga kalenda hadi anasizi mwenyewe. mbona wanaume ni rahisi kudanganya?.
kwani mtu akikutongoza lazima umpe au lazima unune kana kwamba hutongozwi? kama ndivyo mlaumu Mungu aliyekupa uzuri. mi mwenyewe nikikuta unalipa nakutongoza aisee.
unajua hapa ndo watu wanapoona tabu ya maisha humu duniani, umesoma kwa tabu, kazi unafanya kwa tabu halafu jitu linakunyima haki yake kwa sababu binafsi. nimemweleza mwalimu mwenzangu kaniambia areaz subiria kulipwa mwaka 2015
aah mkuu haujaacha tuu!
duuu!
SnowBall nakubaliana na wewe kabisa. Lakini pia mimi ningeshauri ofisi ziwe zinajengwa na kuekewa vicamera kama vya bennki ili kuweza kujua kinachoendela ndani ya ofisi manake kweli wanawake wengi tunadhalilika, istoshe wapo wengine wanaangukia kukubali kwasababu ya shida mtu.Tatizo dada yangu ukishajijengea utaratibu wa kutoa ngono ili ufanikiwe itakuwa ndio tabia yako..please piga vita hii tabia na itafute haki yako kwa njia sahihi. Bahati mbaya kuna wanadada wamefanya huu ndio mpango wao, na hii inapelekea wanaume kuwajaribu wanawake kwa njia hii ili kuona kama ndio walewale..
umetokea kijiji gani?. wenzako wanalegeza jicho na sauti kwenye nafasi kama hizo. fomu unasaidiwa kusign na nauli unapewa. vile vile na pesa za kuanzia maisha unapewa.
kila ikija kukuchoma unampiga kalenda hadi anasizi mwenyewe. mbona wanaume ni rahisi kudanganya?.
kwani mtu akikutongoza lazima umpe au lazima unune kana kwamba hutongozwi? kama ndivyo mlaumu Mungu aliyekupa uzuri. mi mwenyewe nikikuta unalipa nakutongoza aisee.
SnowBall nakubaliana na wewe kabisa. Lakini pia mimi ningeshauri ofisi ziwe zinajengwa na kuekewa vicamera kama vya bennki ili kuweza kujua kinachoendela ndani ya ofisi manake kweli wanawake wengi tunadhalilika, istoshe wapo wengine wanaangukia kukubali kwasababu ya shida mtu.
mfano, mtu labda ni mwl na toka uanze kazi labda ni miezi 4 na hujapewa salary ukienda ukakutana na situation kama hii ukweli utaanguka dhambini. Kimsingi hasa sisi waalimu ni mateso sana watawala wanatutesa sana