Bwashee vijana wa siku hizi,wengi hawana elimu ya huu ugonjwa,na wengi wao wamezaliwa wamekuta kuna ARV kama wangewaona wagonjwa kipindi kile ndio wangeogopa,
Anyway kwenye hii mitandao usiamini kila kitu,mtu anaweza kuleta uzi kama story tu,issue ni kwamba vijana huzichukulia serious story kama hizi na kupata hamasa na wao kutaka kujaribu,at the end majuto ni mjukuu,
Story za mitandaoni zisome kama burudani tu.