Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Si lazima uamini katika dini yoyote ndipo upate uthibitisho wa uwepo wa uchawi. Hata watu wanaokana uwepo wa Mungu, bado wanatambua kabisa kuna uchawi.Uchawi upo!! Mtu asiyeamini uchawi inamaana hata vitabu vya dini haviamini. Vitabu vya dini vimezungumzia uchawi.
Hiyo mali nayo tambua ina ulinzi, aisee!Kama Uchawi upo wewe roga ile mali yooote ya Bakhresa iwe yako. Msilete ujinga hapa uchawi ni ujinga.
Hizo ni vipengele vingine pia vya nguvu ya giza. Uchawi is simply power of darkness. Sasa inajitokeza na kutenda kazi kwa namna mbalimbali, kulingana na mazingira. Kuna uchawi wa kisomi, uchawi wa kitajiri, uchawi wa mazingira ya umaskini, uchawi wa maeneo kama vile baharini, misituni, nk.Maana ya uchawi kwangu ni wivu na husda tu,ntaamini uchawi siku nikiweza kuroga Atm zitoe pesa ninavyotaka.
Mchumba hulali leo, kisa waloziUchawi upo Sana na wanaokataa uwepo wa uchawi ndio wachawi wenyewe
You are absolutely right. Shetani na shetani mwenziwe huwa hawagombani. Siyo kwamba wanatoweka, ila unakuwa tayari sehemu ya mfumo wao wa nguvu za giza. Kumbuka anayeshika usukani ni Ibilisi mwenyewe, na ndiye anagawa mamlaka na majukumu kwa agents zake ambao basically wako countless -- wanaoonekana na wasioonekana.Wengine Mababu zetu huko nyuma walikuwa ni Watemi ( Chiefs ) hivyo tulishatengenezwa / tulishapikwa mpaka Uchawi ukija unasahaulishwa njia.
Upo wapi?Uchawi upo Sana na wanaokataa uwepo wa uchawi ndio wachawi wenyewe
Nalala Mimi wanga shawazoea mkuu na wameshanasa Mara nyingine.Mchumba hulali leo, kisa walozi
Wengine siyo wachawi, ila kwa sababu they don't know how hiyo power inavyofanya kazi wanaweza wasitambue kabisa kwa ni uchawi.Uchawi upo Sana na wanaokataa uwepo wa uchawi ndio wachawi wenyewe
Upo siku ukikutana na case mojawapoUpo wapi?
Uchawi upo kila mahaliUpo wapi?
Kwanini hawakuwaroga wakoloni wafe au wawe walemavu?Wengine Mababu zetu huko nyuma walikuwa ni Watemi (Chiefs) hivyo tulishatengenezwa / tulishapikwa mpaka Uchawi ukija unasahaulishwa njia.
Wameshanasa...[emoji15][emoji15]Nalala Mimi wanga shawazoea mkuu na wameshanasa Mara nyingine
Mimi nimeshaomba sana wachawi waniroge ila wanaishia kubwabwaja tu.Upo siku ukikutana na case mojawapo
Hapo umewaza kwa ufinyu sana, aisee! Unadhani kuna mtu ama taifa lenye hatimiliki ya uchawi na nguvu za giza??? Uchawi ni mtandao mpana wenye lengo na mipango yake. Wanadamu ni chambo tu. Nguvu za giza zinatofautiana, na zinatokea kwa huyohuyo Ibilisi.Uchawi ungekuwepo:-
Wakoloni wasingewanyanyasa Babu zetu kiasi kile mpaka wanaume wanne wakiwa nusu uchi wanambeba mwanaume mmoja wa kizungu juu kuanzia Kigoma mpaka Kilimanjaro
Wasingechapwa mijeledi kiasi kile na waarabu
Wanaume wa kinijeria wasingechukuliwa watumwa na kupelekwa America kutumikishwa wazee wao waangalie tu
Timu za Simba na Yanga zingekuwa club bingwa za dunia
Wachezaji wa kibongo wangechezea Barca, Real Madrid, Liverpool etc
Mwisho kabisa hao wachawi wenyewe wangekuwa ni matajiri wakubwa mno sio wa kuomba kuletewa Kuku mweusi
Kumbe na wew ushawahi jishughulisha na hvyo vitu, Motives Behind ilkua ni nin?Nalala Mimi wanga shawazoea mkuu na wameshanasa Mara nyingine