Mkuu kuna nyumba huku inapangishwa, huwa watu hawamalizi week wanakimbia.. njoo na roho ya kijasiri mkuu me unipe hela ya udalali tuUchawi upo lakini unashindwa na roho ya kijasiri isiyo na hofu!!
sasa ww unamini vipi kwamba kuna visivo onekana wakati huvioniMungu aliumba vinavyoonekana na visivyoonekana, Hivyo naamini uchawi upo.
Unaweza kuagiza tu online mkuu kama havipo kwenye maduka makubwa ya vitabu hapa Tz au Nairobi.Mkuu, Kinapatikana wapi hicho kitabu?
Unaandika hata usichokijua; uchawi, ushirikiana hauonekani kwa macho mechanism inavyofanyika ila athari zake zinaonekana wazi. Wapo wachawi wengi wanatumika tu sana, mvuta-uzi akiwa ni Iblisi mwenyewe.sasa ww unamini vipi kwamba kuna visivo onekana wakati huvioni
Hapo unaposema uchawi ni sayansi & teknolojia, unapitiliza aisee. Tafuta maana ya sayansi na maana ya uchawi, utaelewaUchawi upo na Wazungu walianza kabla yetu....now kwao wameupa jina zuri tamu wanauita SAYANSI &, TECHNOLOGY.
Sisi bado tuko ujima Uchawi ila tunasogea sogea slowly tutawafikia na sisi.
Wangewapa Wakristu wajenge church tu.Kama hapo Victoria njia ya kwenda moroco
Kwa nini hawajenda church kumsalia?Kuna mtoto wa rafiki yangu alipotea mara ya kwanza three days akaja okotwa porini na wachana mbao, alipoulizwa alikua wapi anasema hajui ila ameacha wenzake, last year alipotea one week alitafutwa mpaka wakakata tamaa kwamba atakua amekufa na kumbuka baada ya kupotea mara ya kwanza alipopatikana wakaanza kumfungia ndani hata shule wakamwachisha kwa muda, siku hyo walisahau kufunga mlango na watu wote wako kazini house girl yuko uani anafua dogo akachomoka akapotea, tulienda kwa fundi mmoja hv tukamwelezea akasema huyo mtoto bado yuko hai na anarudi, ndani ya dakika chache mke wa jamaa anapiga cm mtoto karudi ilikua saa mbili usiku anaulizwa ulikua wapi anasema alikua porini wanavuna karanga na amewaacha wenzake wanaendelea yy ameshamaliza, dogo alipelekwa kwa fundi akatengenezwa mpaka leo yuko vizur afungwi kamba hapotei na shuleni wana evening prepo anaenda na kurudi mwenyewe usiku, so uchawi upo nimeshuhudia kwa macho.
Hahaha. Unajua jamaa anabuni visababu mpaka yenye mwenyewe anapoteanaHuo ugonjwa mnaugua family nzima mna amshana kwenda kulala nje?
Mkuu leo niambie ukakasi wako upo wapi ili nikupe elimu ya uchawi@Kiranga Kiranga Iblis Bin Shetan
Fanyeni tafiti kuhusu Sanaa hiyo ya ulozi, uchawi upo ispokuwa una masharti yake usifikiri ni kuroga tu Kuna miiko yake, watu wangezihamishia Benki majumbani mwaoHiyo mali nayo tambua ina ulinzi, aisee!
Toa elimu ndg uelimishe jamii bhana.Mkuu leo niambie ukakasi wako upo wapi ili nikupe elimu ya uchawi
Mkuu sihitaji hiyo elimu duni aisee. Inatosha to kusema giza haliwezi kamwe kuzidi mwangaza. Iblis atawatumieni, akishawakamua kila kitu anawatema na kuwaaibisha. Hebu fuatilieni jinsi wenzenu wanavyopukutika deile kama mbelewe kwenye upepo.Mkuu leo niambie ukakasi wako upo wapi ili nikupe elimu ya uchawi
Yohana 1:4-5 Inasema Nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza Nuru.Mkuu sihitaji hiyo elimu duni aisee. Inatosha to kusema giza haliwezi kamwe kuzidi mwangaza. Iblis atawatumieni, akishawakamua kila kitu anawatema na kuwaaibisha. Hebu fuatilieni jinsi wenzenu wanavyopukutika deile kama mbelewe kwenye upepo.
Mungu akuepushie mbali maana mtu kama wewe ukiguswa kidogo tu unakuwa msukule kwani unafahamu upande mmoja tu wa dunia na hayo maneno uliyoyaandika yaishie humuhumu jf ukienda ukatamke maneno haya mbele ya wazee cha kwanza watakusoma jicho usiku.Hizo ni imani tu na wenge lenu usiku
Hakuna kitu kama hicho (uchawi) uyo mtoto aliyekuwa kipofu, kiziwi nk apelekwe hospitali utapewa chanzo na nini kifanyike
Hujaelewa kama huelewiMkuu sihitaji hiyo elimu duni aisee. Inatosha to kusema giza haliwezi kamwe kuzidi mwangaza. Iblis atawatumieni, akishawakamua kila kitu anawatema na kuwaaibisha. Hebu fuatilieni jinsi wenzenu wanavyopukutika deile kama mbelewe kwenye upepo.
Yesu mwenyewe alikuwa anafanya maajabu nyinyi mnaita miujiza lkn hakuna tofauti Kati ya uchawi na miujiza zote ni kuenfluence natural powerYohana 1:4-5 Inasema Nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza Nuru.
Nuru ni Yesu Kristo, ndie Bwana wa mabwana wote, ndie Mfalme wa wafalme hao.
Hao wenye vyeo kuzimu vya uchawi mpaka kufikia kuitwa wafalme wa wachawi, nao wana Mfalme wao, nae si mwingine ila ni Yesu Kristo, Simba wa Kabila la Yuda kutoka uzao wa Mzee Yese.
Wengi hawajui amini nakuambia kuanzia Mussa Suleimani hadi Yesu wote walikuwa wana practise uchawiYesu mwenyewe alikuwa anafanya maajabu nyinyi mnaita miujiza lkn hakuna tofauti Kati ya uchawi na miujiza zote ni kuenfluence natural power
Tofauti ni jinsi utakavyotumia ili kuangamiza wenzako au kuuwa hapo tunasema uchawi lkn hata Yesu mwenywe alikuwa anapractise uchawi
Ngoja nimwite Astronomer
Unajuaje wewe unaweza kunipa elimu mimi na si mimi ninayeweza kukupa elimu wewe?Mkuu leo niambie ukakasi wako upo wapi ili nikupe elimu ya uchawi
Yote sawa tu hakuna asiejua yote na pia hakuna pia anaejua yawezekana ukawa unajua mengi na pia yawezekana pia mm nikawa najua kidogoUnajuaje wewe unaweza kunipa elimu mimi na si mimi ninayeweza kukupa elimu wewe?
Hizo ni imani tu na wenge lenu usiku
Hakuna kitu kama hicho (uchawi) uyo mtoto aliyekuwa kipofu, kiziwi nk apelekwe hospitali utapewa chanzo na nini kifanyike