Nimehitimu chuo mwaka huu; mtaji wa Tsh. 500,000 naweza kufanya biashara gani?


Angalia hapo, usiwe mvivu kusoma.....utapata vitu vya maana sana
 
Karibu sana kaka
Ila umechelewa msimu wa kulima Wa mwezi wa 10-11 subiri wa mwezi wa Pili unatumia laki yako Moja tuu kukodi shamba Mbegu mbolea na kila kitu, Mimi nilianza kama wewe na mtaji wa laki 1 nikalima hekar 1 mahind sasa nalima hekar 9, Akili kichwanii ung'ang'anie Mjini au uingie porin
NB: Usitake 10,000 wakati hata Mia Hujaipata
 
Mashine pekee milioni

Mwanangu naomba nitoe testimony mimi niliamua kurudi bush mzee nikaachana na mambo ya daslam kweli nayaona matunda s Sawa na wanangu niliowaacha town Yan wao itabidi wanisalimie🤣Sema Tu Mungu ni mwema sifa na utukufu kwake minyororo ya fedha iko vZuri Ila kwa upande wangu mahusiano ndio hayakaa Sawa

Lakini pia asitegemee kupata hela once pale atakapowekeza "miezi Sita ndio ataanza kuona mwanga"
 
Kweli mkuu ngoja nitafute shamba
 
Asante kwa ushauri bro
 
Hayo uliyomshauri hapo ulipaswa uyaseme huko juu kuliko kumsihi aje baani.

Jamiiforums imesaidia wengi kutokana na michango chanya ya wanajamiiforums.

Tuheshimu shida za watu, tuwasaidie inapobidi ndiyo maana ya kuwamo humu jukwaani.
Duh! Na kweli mkuu, ila utani ni sehemu ya kiburudisho cha maisha

Nitajaribu kubadilika
 
Hapa Pana Siri kubwa ila watu hawajui,ukiwa na akili kijijin unatoka kimaisha..laki5 ni pesa ndefu
 
Kweli mkuu ngoja nitafute shamba
Kabla ya Kutafuta hilo shamba ... hebu ongeza ongeza hako kaela kwanza ... Naona ili ufanye cha kueleweka huko shamba uwe na mtaji wa kutosha na Pesa ya kusurvive wakati wa kusubiria mazao
Au mna mashamba kwenu ?

Kwa mtaji huo fanyafanya umachinga au u winga , hebu fuatilia nyuzi za Machimbo kko upate idea ya bidhaa ukomae hapo , huku ukitunisha kamtaji

Kama huna aibu Kuna vibiashara vya hapa na pale simple na soko sio la kuumiza kichwa kihivyo mfano. Kukaanga na Kuchoma Kuku au mishikaki na ndizi N k Ili mradi upate kieneo chenye wapita njia au mishemishe
 
Wahitimu wachache sn wachuo watakao kaa road kuuza vichwa vya mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…