Viwanda vya wachina mzeeKama kazi gan??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanda vya wachina mzeeKama kazi gan??
. Ni kweli mkuu, hizi biashara ndogo ndogo ukitengeneza mnyororo, kiasi Fulani ukali wa maisha unapungua..Wapotayari wawe mawinga kwny Maduka y cm n nguo hata km hakuna chochote wanachopata….
Bt ukweli n kwamba hizi biashara tunazozidharau ndo huwa n faida Sn
. Kazi za viwandani ni zuri, Lakini ukiondoa mkoa wa dar es salaam na pwani....Za kiwandani mkuu
Za viwandani dsm Zina mambo ya kiwaki sana. Kazi za viwandani ni zuri, Lakini ukiondoa mkoa wa dar es salaam na pwani....
. Kingine tufanye kazi/vibarua kwa ajili ya kutafuta mtaji na si vinginevyo..
FUNGUA PS HAPP KITAA CHEZESHEA HATA ROOM KWAKOMimi baada ya kumaliza chuo mwezi wa saba nimejaribu kuomba kazi maeneo mengi ila nimekosa kisa Sina uzoefu wa kazi.
Nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu WanajamiiForums mnisaidie.
Je, ni biashara gani nzuri ambayo naweza kufanya nikiwa na mtaji wa laki tano?
Aise tatizo la hao wachina na wahind ni unyanyasaji uliopitiliza ila kama mtu unajitafuta kwa muda si haba ila huo unyanyasaj ndo tatizo...mm nilishawah kuamka nikaacha kaz kwa muhind na sina kaz wala biashara na sjui kesho nakula nn kwasababu nilichoka ukatili wao.Viwanda vya wachina mzee
Bora deiwaka za ujenzi au wale watembeza vyomboAise tatizo la hao wachina na wahind ni unyanyasaji uliopitiliza ila kama mtu unajitafuta kwa muda si haba ila huo unyanyasaj ndo tatizo...mm nilishawah kuamka nikaacha kaz kwa muhind na sina kaz wala biashara na sjui kesho nakula nn kwasababu nilichoka ukatili wao.
Biashara ya Genge labdaMimi baada ya kumaliza chuo mwezi wa saba nimejaribu kuomba kazi maeneo mengi ila nimekosa kisa Sina uzoefu wa kazi.
Nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu WanajamiiForums mnisaidie.
Je, ni biashara gani nzuri ambayo naweza kufanya nikiwa na mtaji wa laki tano?
Viatu vya mtumba kwa Morogoro vinalipa sanaMimi baada ya kumaliza chuo mwezi wa saba nimejaribu kuomba kazi maeneo mengi ila nimekosa kisa Sina uzoefu wa kazi.
Nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu WanajamiiForums mnisaidie.
Je, ni biashara gani nzuri ambayo naweza kufanya nikiwa na mtaji wa laki tano?
Viatu vya mtumba kwa Morogoro vinalipa sana
Pair moja nachagua kwa 3000
Sokoni nauza kwa 5000
Faida per pair ni 2000
Kwa siku unaeza uza hadi 30 hadi 40 prs
Faida per inafika hadi 100k + biashara siku hiyo ikiwa vizur na ikiwa vibaya faida haishuki chini ya 50k