Nimehudhuria ndoa ya single maza, pilau tamuuuuuu

📌📌
 

Ungetaja na hasara za kuoa single mother ili wadau waweke mzani wa faida na hasara
 
Sasa kuna matahira kila kukicha single maza this, single maza that, wajanja wanaoa,
Kuna wakati kuwa "mjanja" ndio huwa Ujinga wenyewe.

Bila kuingilia Uhuru wa mtu kimaamuzi BUT Mwanaume kuoa mwanamke mwenye mtoto sio jambo jema sana.

SIWALAZIMISHI, ila vijana wenzangu kama mkiweza OENI wanawake ambao hawana watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…