🤣🤣🤣Kwa maneno mengine huu uzi unaitwa future impossible fantasy.
🤣🤣🤣Kwa maneno mengine huu uzi unaitwa future impossible fantasy.
Bibi yangu ameolewa ana watoto 5 nimekuja kujua watoto wa 3 wa mwanzo sio wa mume wake nikiwa tayari najitambua.Huyo Naswiat atakuwa ni content creator bila shaka, kumbuka mitandao na uhalisia ni vitu viwili tofauti.
Ndio wanaolewa, ila unyanyapaaji upo! Kiujumla wanaoolewa ni wachache kuliko wasioolewa.Bibi yangu ameolewa ana watoto 5 nimekuja kujua watoto wa 3 wa mwanzo sio wa mume wake nikiwa tayari najitambua.
Muhimu huyo Naswiat ni SM na kaolewa.
Nyoo eti kupevuka kiakili😂😂😂Guys, yaan hapa nimeshiba kitumbo kipo ndi ndi ndi, pilau la harusi ya single maza lilikua tamu hatariii, pilau la mbuzi likatiwa zabibu kavu na tui la nazi kwa mbali oyaaaaaaaa🙌🏻 rosti la mbuzi na nyama za kuku za kuokwa nyie watu wanajua kupika, 😋😋
Sasa nawapa ubuyu kidogo wa huyu single maza aloolewa leo, huyu alizalia nyumbani mwanaume akaingia mitini, hakukata tamaa akaingia mtaani kupambania ugali wa mwanae, kuna mpemba mmoja yupo Germany akaleta salamu kwa wazazi wake anataka mke, wazazi wakamchagua mdogo wake na huyu dada, sijui ilikuaje kuna mtu akamtonya bwana wa Germany kua dada mtu ni kisu zaidi ila ana mtoto, jamaa kaomba picha akadata, akawastopisha wazazi wake akasema anakuja mwenyewe, na kweli akaja akakutana na huyu single mother hajachelewesha ndoa ikapita chaaaaap, hapa single mother na mwanae safari hiyoooooo ya Germany, 🥳🥳🥳🥳
Basi bwana, baada ya kushiba zangu pilau nikajilaza kwenye zulia huku nachokonoa chokonoa meno si ndio napokea meseji eti mualiko wa kitchen party ya single maza mwengine, nikajisemea "aah jamani kwani kuna mashindanoooo," ila huyu bwana wa huyu single maza wa pili kibokoo alivyomvesha pete ya uchumba akamnunulia gari atembee amekaa na sasa ameamua kumuweka ndani jumla, single maza oyeeeeeeeeeeeeeee!
Sasa kuna matahira kila kukicha single maza this, single maza that, wajanja wanaoa,
FAIDA ZA KUOA SINGLE MAZA:
1. Unaoa mwanamke aliyepevuka kimwili na kiakili
2. unaoa mwanamke ambaye una uhakika hana changamoto ya uzazi yaani wewe ukiweka tu imooooo
3. Unaoa mwanamke aliyeamua kwa dhati kusettle down
4. Unapata uzoefu mapema wa kuishi kifamilia, yaani baba, mama na mtoto kabla hamjaanza kuongeza wengine
5. Wanajua mapenzi na mahaba, wasafi sana
6. Ongezeeni zingine nimechoka kuandika
Ngoja niende kwa wapishi waniwekee pilau kwenye kihotpot ninywee chai kesho,
Tchaooooo
Hilo niko wazi tuu mkuu, wadogo zangu bado ni studentUna mdogo wako Nini aliyewahi kudate na single mother maana unaongea ukweli kabisa hasa hapo kwenye kutritiwa
📌Zari huko na yule jamaa yake wameshaachana kuwa na single mother sio jambo la kitoto labda usiwe na wivu
Kua SM sio kitu cha kujivunia kabisaa lakini muda mwingine mambo hutokea na hakuna la kufanya zaidi ya kukubali uhalisia.Ndio wanaolewa, ila unyanyapaaji upo! Kiujumla wanaoolewa ni wachache kuliko wasioolewa.
Na wengine wanaolewa ni waislamu ndio huwa hawana shida na kuoa single mother tena wanaolewa kuanzia mke wa piliNdio wanaolewa, ila unyanyapaaji upo! Kiujumla wanaoolewa ni wachache kuliko wasioolewa.
Sio kweli na hata hao wanaolewa ni asilimia kubwa ni waislamu Tena kuanzia mke wa pili nakuendelea ila ni ngumu single mother mkristo akaolewa hili liko wazi kabisaWatu wanapiga tu makelele nyuma ya keyboard ila huku mtaani wanaolewa zaidi singo maza kuliko wasio na watoto
Hakuna kitu kigumu kama kukubali uhalisia. Jamii itahukumu tu kulingana na mapokeo. Huyo huyo S.M utamkuta anataka mwanaume mwenye pesa, hataki "kukubali uhalisia" kwamba riziki ni majaliwa.Kua SM sio kitu cha kujivunia kabisaa lakini muda mwingine mambo hutokea na hakuna la kufanya zaidi ya kukubali uhalisia.
0
Watoto wanaumia sana kihisia kuishi na mzazi mmoja.
Unajidanganya sana kijana, hata hivyo ni nani aliyekwambia ndoa ya kikristo ndio superior kwa ndoa zingine? Ndoa ni ndoa tuSio kweli na hata hao wanaolewa ni asilimia kubwa ni waislamu Tena kuanzia mke wa pili nakuendelea ila ni ngumu single mother mkristo akaolewa hili liko wazi kabisa
Kabisa. Ndio maana huwa siwaelewi watu wanaoamua kuwa SM by choice, huwa naona ni ubinafsi uliokithiri. Sawa wewe hutaki mwanaume, vipi kuhusu mtoto? Naye hataki baba? Ila kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuamua nini afanye na maisha yake tunaheshimu maamuzi yaoKua SM sio kitu cha kujivunia kabisaa lakini muda mwingine mambo hutokea na hakuna la kufanya zaidi ya kukubali uhalisia.
Watoto wanaumia sana kihisia kuishi na mzazi mmoja.
Umeanza kubadili gia angani, umekuja kwenye dini🤣🤣🤣 huyu anayefanyiwa kitchen party ni muikristoNa wengine wanaolewa ni waislamu ndio huwa hawana shida na kuoa single mother tena wanaolewa kuanzia mke wa pili
Na huo ndio ukweli, niliwahi kusikia kuna makabila kama wasukuma na wajaluo wanaoamini watoto ni utajiri hua wanapenda kuoa single maza ajazie utajiri wake, lolWatu wanapiga tu makelele nyuma ya keyboard ila huku mtaani wanaolewa zaidi singo maza kuliko wasio na watoto
Ni kweli, wazazi wanapoachana wanaoumia na kuathirika ni watoto,Kua SM sio kitu cha kujivunia kabisaa lakini muda mwingine mambo hutokea na hakuna la kufanya zaidi ya kukubali uhalisia.
Watoto wanaumia sana kihisia kuishi na mzazi mmoja.
Unyanyapaaji upo kwenye mitandao tu, ila kwenye uhalisia sijawahi kuona single maza ananyanyapaliwa kwa kua single maza labda awe ni binti aliyekua anasoma akapata ujauzito lazima wazazi wareactNdio wanaolewa, ila unyanyapaaji upo! Kiujumla wanaoolewa ni wachache kuliko wasioolewa.
Kalaghabao, wenzio wanaoa tena kwa kushindana ndoa za kifahariTubutu , narudia tena mwanaume kuoa single maza ni udhaifu mkubwa.Wanawake new model kibao mtaani, mnataka used nyie vipi?
Achana nao hao mataahira. Mwanamke kuwa na mtoto wala siyo hoja. Eti oooh umeoa mke wa mtu, kwani kuchovya ndiyo kuoa? Kama ni hivyo basi wote tumeoa wake za watu, maana kila mmoja alikuwa na wa Kwake huko kijijini.Naswiat ni Single maza wa watoto 5 kaolewa na kijana m'bichi kwa raha zake.
Humu jf wengi wameoa Single mama ila wakilog in humu wakavuuu..!