Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
- #101
Umeona mambo hayooooo, wanaume matured wanakimbilia single maza, wapate tulizo la nafsiWasichana wapo wengi wenye sifa za kuolewa na 'wanaozeana' majumbani bhana.
Umeona mambo hayooooo, wanaume matured wanakimbilia single maza, wapate tulizo la nafsiWasichana wapo wengi wenye sifa za kuolewa na 'wanaozeana' majumbani bhana.
Mpuuuuzi weweeee🤣🤣🤣🙌🏻Oyaa jana nime-enjoy sana kuna single mother mmoja anabonge la tako alinituku wali wa nazi umetiwa zabibu sio mchezo ni mwendo wa kumkamatia tu kwa nyuma tu mpaka wazungu wanabisha hodi oya nyama ya mbuzi kagoma kwenda ni tamu sana asikwambie mtu
Endelea na io tabia utakiona cha mtema kuniOyaa jana nime-enjoy sana kuna single mother mmoja anabonge la tako alinituku wali wa nazi umetiwa zabibu sio mchezo ni mwendo wa kumkamatia tu kwa nyuma tu mpaka wazungu wanabisha hodi oya nyama ya mbuzi kagoma kwenda ni tamu sana asikwambie mtu
Ishu n kuzaa na mwanaume mwingine afu uje umbebeshe mwngn mzigo wenuKwani mkitoaga kasoro za single maza wasiokua na watoto hua hawana hizo kasoro?
Sijasema ndoa za kikristo ni superior nimesema kwa waislamu hawana shida na single mother ndio maana wanaolewa kuanzia mke wa pili ila kwa wakikristo ni mara chache sana single mother kuolewa labda aolewe na single father ndio huwa inatokea.Lazima tukubali soko la single mother ni gumu sana kwenye kupata ndoa labda huyo single mother awe anajiweza kiuchumi au awe anasifa za ziada kwasababu wanaume ambao hawana watoto wanaogopa kuingia kwenye ndoa na single mother kwa sababu kuu hizi:Unajidanganya sana kijana, hata hivyo ni nani aliyekwambia ndoa ya kikristo ndio superior kwa ndoa zingine? Ndoa ni ndoa tu
Sijabadili gia angani ni kweli waislamu ndio huwa hawana shida na single mother hasa huwa wanawaoa kuanzia mke wa pili mbona hili liko wazi na tumwahi kulizungumzia humu lakini kwa single mother ambaye ni mkristo ni wachache sana wanaolewa labda aolewe na single father ila sio kwa mwanaume ambaye Hana mtotoUmeanza kubadili gia angani, umekuja kwenye dini🤣🤣🤣 huyu anayefanyiwa kitchen party ni muikristo
Tuko kwa mwamposaa tunakemea rohoo za single mazaa mkuu......tuma sadaka kwenye namba ilelilee nikuleteee maji na mafutaGuys, yaan hapa nimeshiba kitumbo kipo ndi ndi ndi, pilau la harusi ya single maza lilikua tamu hatariii, pilau la mbuzi likatiwa zabibu kavu na tui la nazi kwa mbali oyaaaaaaaa🙌🏻 rosti la mbuzi na nyama za kuku za kuokwa nyie watu wanajua kupika, 😋😋
Sasa nawapa ubuyu kidogo wa huyu single maza aloolewa leo, huyu alizalia nyumbani mwanaume akaingia mitini, hakukata tamaa akaingia mtaani kupambania ugali wa mwanae, kuna mpemba mmoja yupo Germany akaleta salamu kwa wazazi wake anataka mke, wazazi wakamchagua mdogo wake na huyu dada, sijui ilikuaje kuna mtu akamtonya bwana wa Germany kua dada mtu ni kisu zaidi ila ana mtoto, jamaa kaomba picha akadata, akawastopisha wazazi wake akasema anakuja mwenyewe, na kweli akaja akakutana na huyu single mother hajachelewesha ndoa ikapita chaaaaap, hapa single mother na mwanae safari hiyoooooo ya Germany, 🥳🥳🥳🥳
Basi bwana, baada ya kushiba zangu pilau nikajilaza kwenye zulia huku nachokonoa chokonoa meno si ndio napokea meseji eti mualiko wa kitchen party ya single maza mwengine, nikajisemea "aah jamani kwani kuna mashindanoooo," ila huyu bwana wa huyu single maza wa pili kibokoo alivyomvesha pete ya uchumba akamnunulia gari atembee amekaa na sasa ameamua kumuweka ndani jumla, single maza oyeeeeeeeeeeeeeee!
Sasa kuna matahira kila kukicha single maza this, single maza that, wajanja wanaoa,
FAIDA ZA KUOA SINGLE MAZA:
1. Unaoa mwanamke aliyepevuka kimwili na kiakili
2. unaoa mwanamke ambaye una uhakika hana changamoto ya uzazi yaani wewe ukiweka tu imooooo
3. Unaoa mwanamke aliyeamua kwa dhati kusettle down
4. Unapata uzoefu mapema wa kuishi kifamilia, yaani baba, mama na mtoto kabla hamjaanza kuongeza wengine
5. Wanajua mapenzi na mahaba, wasafi sana
6. Ongezeeni zingine nimechoka kuandika
Ngoja niende kwa wapishi waniwekee pilau kwenye kihotpot ninywee chai kesho,
Tchaooooo
Kwenye hizo kitchen party huwa mnafundishana Nini?Unguja hapa, leo usiku wa zawadi ila ni wanawake watupu, naandaa kitumbo nishindilie misosi🤣🤣🤣
Dr, Harusi ya mjerumani na pilau? Wale ni mashroom soup, Baiersbronn, Beluga caviar na mambo kama hayo. PILAU? Na vijiti vya meno?Guys, yaan hapa nimeshiba kitumbo kipo ndi ndi ndi, pilau la harusi ya single maza lilikua tamu hatariii, pilau la mbuzi likatiwa zabibu kavu na tui la nazi kwa mbali oyaaaaaaaa🙌🏻 rosti la mbuzi na nyama za kuku za kuokwa nyie watu wanajua kupika, 😋😋
Sasa nawapa ubuyu kidogo wa huyu single maza aloolewa leo, huyu alizalia nyumbani mwanaume akaingia mitini, hakukata tamaa akaingia mtaani kupambania ugali wa mwanae, kuna mpemba mmoja yupo Germany akaleta salamu kwa wazazi wake anataka mke, wazazi wakamchagua mdogo wake na huyu dada, sijui ilikuaje kuna mtu akamtonya bwana wa Germany kua dada mtu ni kisu zaidi ila ana mtoto, jamaa kaomba picha akadata, akawastopisha wazazi wake akasema anakuja mwenyewe, na kweli akaja akakutana na huyu single mother hajachelewesha ndoa ikapita chaaaaap, hapa single mother na mwanae safari hiyoooooo ya Germany, 🥳🥳🥳🥳
Basi bwana, baada ya kushiba zangu pilau nikajilaza kwenye zulia huku nachokonoa chokonoa meno si ndio napokea meseji eti mualiko wa kitchen party ya single maza mwengine, nikajisemea "aah jamani kwani kuna mashindanoooo," ila huyu bwana wa huyu single maza wa pili kibokoo alivyomvesha pete ya uchumba akamnunulia gari atembee amekaa na sasa ameamua kumuweka ndani jumla, single maza oyeeeeeeeeeeeeeee!
Sasa kuna matahira kila kukicha single maza this, single maza that, wajanja wanaoa,
FAIDA ZA KUOA SINGLE MAZA:
1. Unaoa mwanamke aliyepevuka kimwili na kiakili
2. unaoa mwanamke ambaye una uhakika hana changamoto ya uzazi yaani wewe ukiweka tu imooooo
3. Unaoa mwanamke aliyeamua kwa dhati kusettle down
4. Unapata uzoefu mapema wa kuishi kifamilia, yaani baba, mama na mtoto kabla hamjaanza kuongeza wengine
5. Wanajua mapenzi na mahaba, wasafi sana
6. Ongezeeni zingine nimechoka kuandika
Ngoja niende kwa wapishi waniwekee pilau kwenye kihotpot ninywee chai kesho,
Tchaooooo
1. Nikisema ndoa zinafungwa namaaninisha ndoa zote, hao wasiokuwa na tatizo na SM ni wanaume au sio wanaume? Ndoa ya mke wa pili ni ndoa ama sio ndoa?Sijasema ndoa za kikristo ni superior nimesema kwa waislamu hawana shida na single mother ndio maana wanaolewa kuanzia mke wa pili ila kwa wakikristo ni mara chache sana single mother kuolewa labda aolewe na single father ndio huwa inatokea.Lazima tukubali soko la single mother ni gumu sana kwenye kupata ndoa labda huyo single mother awe anajiweza kiuchumi au awe anasifa za ziada kwasababu wanaume ambao hawana watoto wanaogopa kuingia kwenye ndoa na single mother kwa sababu kuu hizi:
1.kutakuwa na muingiliano na mzazi mwenza wa huyo mtoto
2.Anaogopa kuwekeza nguvu nyingi za kusaidia mtoto wa single mother mwisho wa siku akajutia kwa kugeukwa maumivu yake yanakuwa makubwa tofauti na kama mtoto au watoto wangekuwa ni wa kwako
NB:hizo sababu zinaweza kuwepukika kama huyo single mother atakuwa na uchumi mzuri Kwanza atakuwa hamtegemei mzazi mwenza lakini pia mapenzi yake kwako yatakuwa ya ukweli sio kwasababu ya kifedha
Natafuta Ajira ephen_
binti kiziwi
leo dada
Mpemba anaishi Germany. Kwa hiyo huko kwenu mtu mmoja akienda kwa wazungu ukoo mzima unabadilisha culture wote mnakuwa wazungu? 🤣🤣🤣 Kazi ipoDr, Harusi ya mjerumani na pilau? Wale ni mashroom soup, Baiersbronn, Beluga caviar na mambo kama hayo. PILAU? Na vijiti vya meno?
Basi huyo hana sifa za SM! Ni mchepuko aliyezalia nje ya ndoaBibi yangu ameolewa ana watoto 5 nimekuja kujua watoto wa 3 wa mwanzo sio wa mume wake nikiwa tayari najitambua.
Muhimu huyo Naswiat ni SM na kaolewa.
Hahaha, Sasa German na pilau hainogi. Pemba sawa. Ila niseme tu ukweli, nimesoma mada haraka haraka nikakurupuka kujibu. Una hoja.Mpemba anaishi Germany. Kwa hiyo huko kwenu mtu mmoja akienda kwa wazungu ukoo mzima unabadilisha culture wote mnakuwa wazungu? 🤣🤣🤣 Kazi ipo
Wanaongea Mambo fikirishi wakati watu tupo kwenye field badala ya kupeana hope ni vizuri wakawa washauri wazuri wa single mother sijui kwanini sisi Africa tunaamini kwenye unafiki badala ya ukweliBasi usilinganishe mazingira yao huko na yetu huku. Sisi tuko field hapa TZ. Tunayaona yanayoendelea.
Point za mtoa mada ni harusi ya kifahari, pilau tamu na mume wa Germany. Sisi tunaangalia maisha ya ndoa, wao wanaangalia harusi.Wanaongea Mambo fikirishi wakati watu tupo kwenye field badala ya kupeana hope ni vizuri wakawa washauri wazuri wa single mother sijui kwanini sisi Africa tunaamini kwenye unafiki badala ya ukweli
KivipiBasi huyo hana sifa za SM! Ni mchepuko aliyezalia nje ya ndoa
Hao watoto amezalia nje ya ndoa. Si hawakuwa wa mumewe?Kivipi
Kaolewa akiwa na watoto watatu mwaka 2000 hiyoHao watoto amezalia nje ya ndoa. Si hawakuwa wa mumewe?
Basi huyo ni singo mama pro max.. Akazaa wa2 nje tena! Bila mme wake kujua.Kaolewa akiwa na watoto watatu mwaka 2000 hiyo