Nimehudhuria ndoa ya single maza, pilau tamuuuuuu

Kushusha Injini imekua swala la kawaida kabisa siku hizi... unamwogopa single maza unaenda kukutana na mama wa Marehemu watatu😃
Sema wewe Selikavu, nikisema mie Mariposa wanadhani nadanganya,

Au unaoa asiye na mtoto mnaanza kutafuta watoto miaka mitano kumbe mwenzio alikua anakunywa P2 na Majira sumu haijatoka mwilini 🙌🏻
 
Wewe kijana mwembamba mwalim wa private school ulienda kichwa kichwa kwa mkuu wa shule ambaye ni single mother kwa tamaa zako ukajikuta umenasa eti kisa uliahidiwa ualimu wa miradi ona saivi unalia na ukituona sisi tunaopoa pisi unatuonea wivu broo komaa maana ulishindwa kutawala hisia zako matokeo yake ndo hayo sasa.
Unazidi kukondeana lishangingi linafumuka tu
 
Sema wewe Selikavu, nikisema mie Mariposa wanadhani nadanganya,

Au unaoa asiye na mtoto mnaanza kutafuta watoto miaka mitano kumbe mwenzio alikua anakunywa P2 na Majira sumu haijatoka mwilini 🙌🏻
Uzuri ukwel tunaujua tunakaza mafuvu tuu ila kwa sasa hali ni mbaya aseee na tunaona bado tunaendelea kulishana ujinga
 
Hakuna hasara, ni faida kwa kwenda mbele
Dr hasara zipo hasa kupasha kiporo


Wakati mwingine single parents wana madharau hapo ni both akikutana na mwenzi ambaye ana changamoto ya uzazi yupo tyr kurudi kwa ex au issue za fullfil of sexual desires


Vilevile pia single parents ujue kuachana ni ngumu sana coz bond ov kids mamilo

Happy pride month kwako Dr Mariposa 🤩😍
 
Hivi ilifanyika wapi hiyo harusi mama?
 
Tubutu , narudia tena mwanaume kuoa single maza ni udhaifu mkubwa.Wanawake new model kibao mtaani, mnataka used nyie vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…