ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
hebu tupe habar kamili ndugu mtangazajiIna maana hujamuelewa mkuu??!....... Huyu ananyongwa na mapenzi!!
Habari za usiku mabibi na mabwana
Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa
Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi
Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..
Tusiache kuombeana ndugu
Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121]Kuna mtu hujamtag mkuu, au ndo mnyongaji???
Ni mapenzi ya smart911 mkuu, believe me![emoji31][emoji31][emoji31]hebu tupe habar kamili ndugu mtangazaji
Unanyongwa kwa udenda au vuz*?Habari za usiku mabibi na mabwana
Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa
Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi
Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..
Tusiache kuombeana ndugu
Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni mapenzi ya smart911 mkuu, believe me![emoji31][emoji31][emoji31]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukinyongwa utujulishe ili tuweke matanga