Nimehukumiwa kunyongwa

Nimehukumiwa kunyongwa

Habari za usiku mabibi na mabwana

Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa

Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi

Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..

Tusiache kuombeana ndugu

Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina

Kila la kheri katika ' Kifo ' chako Mkuu na jitahidi ' Ufe ' vizuri.
 
Mkuu unamaanisha smart911 amepata kamchepuko??[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Habari za usiku mabibi na mabwana

Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa

Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi

Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..

Tusiache kuombeana ndugu

Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
Unanyongwa kwa udenda au vuz*?
 
Huu ni ukurasa wa 4 sijaona kama kamtag shemeji kama kawaida yao na jamaa hata hajakomenti.
 
Hapa kuna shida yaani umeandika maneno yote bila kumuita Smart911!!!!! au ni drama kama kawaida ndo baadaye aje kukubembeleza eti usijinyonge Mahondaw maana nyie kwa drama ni shida.
 
Back
Top Bottom