mahondaw how do I, get through one night without you? If I had to live without you mahondaw, what kind of life would that be?
mahondaw I need you in my arms, need you to hold, you're my world, my heart, my soul...
I have forgiven you mahondaw or else i would have taken away everything good in your life...
mahondaw we are good now, I'd be lost if I lost you... I forgive you for a bad night and thank you for a good sweet morning...
Love you mahondaw wangu...
Sisi tunawaombea penZi lenu lifike mbali.Saint Ivuga Behaviourist Super women 2
Ice man 3D and others mupooo???
hahaha Nacheka kwa dharaaaau lol
anyway
Thanks again Smart911 swirly for forgiveness
I wrote this thread intentionally kabisa niwajue wenye vijiba na penzi langu na my king Smart911
khakhaakhaa aibu yetu aibu yaooooooooo
aibu yao wenyeweeeee
Nakupenda sana Smart911 mzungu wangu
a muzungu by heart and character lol... hug and kissesssss
muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah
Ailavyuuuuuuuuuuuuu my king
Mkuu mimi ntakua nyuma yako nikiota zinazo kudondoka kuhakiki zote ziwe salamaMimi nitakusanya rambirambi maana zinalipa siku hizi.
Ndio,Naona ameshatendwa. Si alikuwa anamtag smart
Mkuu bado hem vuta subra kwanzaaaaNilikuambia ukawa unanitukana
Penzi limechacha!![emoji31][emoji31][emoji31]Naona ameshatendwa. Si alikuwa anamtag smart
Pole mwaya kwa yale maumivu ya wivu wa mapenzi yanayokutesa!![emoji1][emoji31][emoji31][emoji31]
Upo sahihi...Ni mapenzi ya smart911 mkuu, believe me![emoji31][emoji31][emoji31]
Siyo drama... Ni maisha yetu mimi na mahondaw... Ndiyo maana hutakaa uone namtukana mtu kwa issue zinazohusu maisha yangu na mahondaw... Hata ukianzisha matusi mfano... I ignore you...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hawa nao wanapenda mambo ya drama, halaf they do it in jf.
they deserve an Oscar.
i love them though [emoji2]
Hakuna aliyetendwa.. Ni conflict za kawaida za mahusiano tu...Naona ameshatendwa. Si alikuwa anamtag smart
Yashapita... Tunaambiwa tusamehe saba mara sabini...Smart911 kandamiza taratibu.
Huku tumeanza kuandaa uchangishaji wa rambirambi.
Hahahaaa,, naon manen yako yameanz kutmia mkuu saint ivuga…!!Nilikuambia ukawa unanitukana
mi nawakubali sana mkuu. tena huwa nawapongeza daily
Hapana... Wala siyo fumanizi... Smart911 and mahondaw never cheat...Utakuwa umefumaniwa labda na mkuu smart911 ,,so anataka akunyonge
Yashapita... Tunaambiwa tusamehe saba mara sabini...Smart911
Akijinyonga huyo wana JF tutakusaka popote ulipo tutakunyonga na wewe na sema tutakunyongaa kwa usalama wako nenda muwahi mapema.
Usijali Dada yetu sisi ndo mawakili wako hapa.
Wala hutanyongwa.
Yashapita...Unanyongwa na smart911 ama!???
Yashapita... Shetani mbaya alishindwa jana ile ile...Kwisha habari yake huyo
Big up Smart 911 ila mnyonge taratibu walau mda wa kuaga marehemu mwili uweze kuagwa asije kuharibika vibaya.