Nimehukumiwa kunyongwa

Nimehukumiwa kunyongwa

mahondaw how do I, get through one night without you? If I had to live without you mahondaw, what kind of life would that be?

mahondaw I need you in my arms, need you to hold, you're my world, my heart, my soul...
I have forgiven you mahondaw or else i would have taken away everything good in your life...

mahondaw we are good now, I'd be lost if I lost you... I forgive you for a bad night and thank you for a good sweet morning...

Love you mahondaw wangu...
 
hahaha Nacheka kwa dharaaaau lol

anyway

Thanks again Smart911 swirly for forgiveness

I wrote this thread intentionally kabisa niwajue wenye vijiba na penzi langu na my king Smart911

khakhaakhaa aibu yetu aibu yaooooooooo

aibu yao wenyeweeeee

Nakupenda sana Smart911 mzungu wangu

a muzungu by heart and character lol... hug and kissesssss
muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah
Ailavyuuuuuuuuuuuuu my king
 
Saint Ivuga Behaviourist Super women 2
Ice man 3D and others mupooo???

hahaha Nacheka kwa dharaaaau lol

anyway

Thanks again Smart911 swirly for forgiveness

I wrote this thread intentionally kabisa niwajue wenye vijiba na penzi langu na my king Smart911

khakhaakhaa aibu yetu aibu yaooooooooo

aibu yao wenyeweeeee

Nakupenda sana Smart911 mzungu wangu

a muzungu by heart and character lol... hug and kissesssss
muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah
Ailavyuuuuuuuuuuuuu my king
Sisi tunawaombea penZi lenu lifike mbali.
Sasa ukija kulia lia hapa hata kama unatania ila ujue mzaha mzaha hutumbukanjibu.
Mmoja wenu kama ni kicheche hakuna namna mtatibuana tu sku yoyote hata kama mje na mashair mangapi.
Moyo ni kuaminiana sio mashairi.
 
Mtoa post mbn hajibu?? uskute kaisha jinyonga[emoji15]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hawa nao wanapenda mambo ya drama, halaf they do it in jf.
they deserve an Oscar.

i love them though [emoji2]
Siyo drama... Ni maisha yetu mimi na mahondaw... Ndiyo maana hutakaa uone namtukana mtu kwa issue zinazohusu maisha yangu na mahondaw... Hata ukianzisha matusi mfano... I ignore you...
 
Siyo drama... Ni maisha yetu mimi na mahondaw... Ndiyo maana hutakaa uone namtukana mtu kwa issue zinazohusu maisha yangu na mahondaw... Hata ukianzisha matusi mfano... I ignore you...
mi nawakubali sana mkuu. tena huwa nawapongeza daily

though kuna mambo sikubaliani nanyi ambayo naona wazo mnayafanya yawe dramatic hasa hapa jf, may be nyie mnasema siyo drama lakin mnayaweka kwenye drama zone, but kila mtu anatakiwa aish maisha yake
mnaruhusiwa kufanya mnacho taka na mimi naruhusiwa kutoa maoni yangu.
 
Utakuwa umefumaniwa labda na mkuu smart911 ,,so anataka akunyonge
Hapana... Wala siyo fumanizi... Smart911 and mahondaw never cheat...

Nilichelewa kurudi, akanaitafuta mpaka akachoka... Nimerudi late.. Bila kuniuliza akaanza kupanic ndiyo nikachukia sana...
 
Smart911
Akijinyonga huyo wana JF tutakusaka popote ulipo tutakunyonga na wewe na sema tutakunyongaa kwa usalama wako nenda muwahi mapema.

Usijali Dada yetu sisi ndo mawakili wako hapa.
Wala hutanyongwa.
Yashapita... Tunaambiwa tusamehe saba mara sabini...
 
Back
Top Bottom