Nimehukumiwa kunyongwa



Wakili wako wa moyo kakutema, pole sana. Dushelele si lelemama....lina raha yake lile na ukichanganisha na joto mwanana ndio basi raha bin vuuuuuu. Usife moyo lakini, kunywa maziwa mgando ukalale. Ukihamka salama nenda kanisani utampata wakili mwingine wa moyo na huenda akawa na dushelele tamu zaidi ya hilo lililokukimbia. [HASHTAG]#HeshimuniMadushelele[/HASHTAG]
 


Weeeeeeeeeeeeeeeeeeh

thubutuuuuu

Najua wanatamani sana niachwe khakhaakhaa

Nacheka kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaauuuu
 

Kumbe hata warembo wanaongeaga pumba
 
Umehukumiwa kunyongwa au umejinyonga mwenyewe " H.I.V" positive.
 
Unyongwe Salama,,

Ufikie Kuzimu Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…