Nimehukumiwa kunyongwa

Nimehukumiwa kunyongwa

Smart911 kandamiza taratibu.

Huku tumeanza kuandaa uchangishaji wa rambirambi.
 
Utakuwa umefumaniwa labda na mkuu smart911 ,,so anataka akunyonge
 
Habari za usiku mabibi na mabwana

Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa


Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi

Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..

Tusiache kuombeana ndugu


Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
uzi wako peleka facebook naona unatafuta comments hapa za kijinga
 
huenda amekanyanga miwaya. Ukishakanyaga miwaya it is automatic a terminal disease
 
Back
Top Bottom